Sasa havi wanashughulika na Maduro wa Venezuela wakimaliza ni zamu yakeMzungu hatishwi ajiangalie sana.
Anatishiwa vizuri sana, kila mtu afanye biasharaMzungu hatishwi ajiangalie sana.
Mzungu hatishwi ajiangalie sana.
Huyu mama amezingua sana leo. Aseee
"Hilo deni linaonekana kubwa kwa sababu lipo kwenye shilingi"Hilo deni la Trln 100 tunalodaidiwa limekopwa kutoka nchi gani
MWANAMKE MPUMBAVU UVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.Mbona ameamua kujiangamiza 🤠🤠🤠😂😂
Wanasheria katiba inasemaje ikitokea Rais amechanganyikiwaRais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
kwani Huko ulaya hawadaiwi?Hilo deni la Trln 100 tunalodaidiwa limekopwa kutoka nchi gani
Kwa wajomba zake kunamtia kiburiRais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
heheheheeeeRais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Basi sawaSiyo kweli, Mama kaongea ukweli na uzalendo uliotukuka
Trump yupo anamwangalia Samia huku anavuta zake Sigara ngoja amalizane na wA Venezuela kwanza, amnyooshe Samia hicho kiuno.Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Wamempa wiki moja ajisalimishe la sivyo wakamnyakueSasa havi wanashughulika na Maduro wa Venezuela wakimaliza ni zamu yake
Basi sawa
Wamempa wiki moja ajisalimishe la sivyo wakamnyakue