Which truth does she stand for?Every one will be labelled a dictator if She/he stands for truth
Mass killings?
Which truth does she stand for?Every one will be labelled a dictator if She/he stands for truth
Unateseka ukiwa wapiModerators pigeni ban wote wanasifia hii umbwa
Sherehe za kitaifa mwezi mzima itakuwa!Anapinduliwa au kuuliwa rasmi kabla ya January 2026
Sio kweli alimuita bush mwaka 2005 akawa hoi 2013 huko na wala sio miezi sitaNi nani anamkumbuka Hugo Shavez wa Venezuela, alimwita Rais Bush shetani baada ya miezi sita hoi kitandani akawa anajuta baadae akafa!!!!!
Huyu hapaswi fika huko huyu aende mapema tuNi nani anamkumbuka Hugo Shavez wa Venezuela, alimwita Rais Bush shetani baada ya miezi sita hoi kitandani akawa anajuta baadae akafa!!!!!
Amechaguliwa na mawakala sio wananchiWatanzania Mil 32 wamemchagua kiongozi kwa kishindo. Sasa Kitima atasikilizwa na kumshawishi nani?
Who's narrating about mass killings?Definately the one who planned chaos is the one who committed the so called mass killings and must be the one trying to advertise chaos through BBC and CNNWhich truth does she stand for?
Mass killings?
What?Who's narrating about mass killings?Definately the one who planned chaos is the one who committed the so called mass killings and must be the one trying to advertise chaos through BBC and CNN
Bila magufuli samia asingekuepoUsimlinganishe Magu na vitu cha kijinga. Jambo serious nchi imo kwenye hatihati Magu angekuwa serious. Halafu yule alikuwa anapendwa yeye kama yeye hivyo hata alipotoa boko ilichukuliwa kama utani tu. Lakini kweli umeua maelfu ya watu, nchi inasambaratika, tension 100%+ halafu unatoa boko kama la leo? Kuna kitu hakiko sawa!
Niko gado sitetereki 🤠🤠🤠Nakuona kamanda Mafwele..