Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu


Aiseeee ila watakuwa wanasaidiwa na MOSSAD na Ellon Musk, tumkubalie tu Ellon Musk aweke satellites dish zake kwenye anga Letu hazina madhara satellites zake
 
Aiseeee ila watakuwa wanasaidiwa na MOSSAD na Ellon Musk, tumkubalie tu Ellon Musk aweke satellites dish zake kwenye anga Letu hazina madhara satellites zake
Mmmmm Ellon ndio kitu gani tangu 1960 huko wana satelite zao juu dunia nzima....mossad wana zao US wana zao....Ellon mtoto sana kwenye mifumo ya ulinzi wa US....Ellon anapewa vibali kurusha satelite za communication na US....ambao ndio wana zijenga hizo sat....Ellon hawezi kuingia hata 1% mifumo ulinzi.....acha kabisaa....
 
Madulo ndiyo nani dunia hii? Kuandika huwezi je ndiyo utakuwa na uwezo hata wa kutoa ushauri?
 
Usimstue mwache azidi kupanua domo lake kama chewa waje wamfanyie kitu mbaya.
 
Kwa ayatollah kachemka mwaka wa ngapi huu.......anaonea vidagaa tu
 
Samia analingia eti mafwele.Marekani akiamua huyo mafwele na Samia watadakwa kama mwewe anavyodaka kifaranga Cha kuku.
Uhusiano wa Venezuela na USA tofauti kabisa na Tanzania na USA, huko Mmarekani anafuata mafuta, Tanzania yamegundulika madini sio mafuta.

Who are you waliambiwa wale mashoga wa EU hakuambiwa Mmarekani.
 
Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
Kuna clip niliona Magorila manne yanapiga kwenye cage, ngumi zimeumana vumbi tu.

Halafu kuna mtalii mmoja anapiga kelele "Where is Zookeeper?!". Ugomvi wa Magorila Zookeeper ukafanye nini ukawaamulie?

Sasa hilo Chopa likitua hapo unataka JW wafanye nini, walitungue?
 
Kama namuona mchina akiangalia habari BBC huku anabugia popo.
🀑🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mkuu umefikiria nini kusema hivi ,ujue nimecheka sana Kama kichaa sasa hivi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†mpaka na onekana chizi .....Anyway umenipunguzia stress Sana Leo maana siku nzima sijacheka ,wewe na mwenzako wa mishikaki ya chatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,Ila samia ni kilaza sana yaani kawaamini wala popo na chatu Kabisa na kuanza kuleta dharau kwa danga sponsor anayetoa mapene ya kuendesha familia Kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…