Zuella zuu
Senior Member
- Jan 1, 2026
- 184
- 382
it was a long term plan hawajakurupuka bwasheeHivi Delta Force walijuaje mazingira na ramani halisi ya mapigano???
it was a long term plan hawajakurupuka bwasheeHivi Delta Force walijuaje mazingira na ramani halisi ya mapigano???
We jamaa eti mishikaki ya chatuJamaa ni hatari sana aisee, unaropoka wanakuangalia kama hawakuoni vile, kumbe wanasuka mipango under ground ,wakikamilisha tu wanakufata mpaka chumbani na hakuna wa kukusaidia Mchina atabaki anakutazama kwenye bbc tu na kulaani vikali akiwa nyumbani kwake anakula mishikaki ya chatu
Raisi wa Colombia aliambiwa na Trump is better watch is Ass.Hali si hali. Wameona mwaka huu 2026 USA hacheki na wowote. Anakupelekea moto tu.
#Iran ni Swala la Muda Wala si mbabe Kwa America ,zipo strategic reason why USA can't attack Iran in a full scale war ,na sababu ni Saudi ,Qatar japo ni Maadui wa Iran ,,,Iran will never posses nuclear war.......mbabe mwenzake..ingawa waliua vakuable asset ndani ya circle and walls.....iran
US ametukosea sana kuacha huu upuuzi wa nchi kujiamulia mambo yake ya ndani. Kitendo hicho kimechangia nchi nyingi kuwa na viongozi wakatili na wanaokaa madarakani bila ridhaa ya umma bali kwa mtutu wa bunduki. Matokeo yake hata viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura na kufanya mauaji wanapata jeuri ya kutema shit hadharani. US anatakiwa arudi kwenye nafasi yake, fuata demokrasia, huwezi kaa kushoto.Madulo ndiyo nani dunia hii? Kuandika huwezi je ndiyo utakuwa na uwezo hata wa kutoa ushauri?
Linamnadiakia ikulu ndogo Tunguu. Mpaka lugalo wajipange! watu washasepa.Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
KabisaaaUS ametukosea sana kuacha huu upuuzi wa nchi kujiamulia mambo yake ya ndani. Kitendo hicho kimechangia nchi nyingi kuwa na viongozi wakatili na wanaokaa madarakani bila ridhaa ya umma bali kwa mtutu wa bunduki. Matokeo yake hata viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura na kufanya mauaji wanapata jeuri ya kutema shit hadharani. US anatakiwa arudi kwenye nafasi yake, fuata demokrasia, huwezi kaa kushoto.
Usimuamshe aliyelalaSamia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono na China na Russia akajiona amefika.
Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.
Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.
Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.
Mto wa mbu
Na waache kuwalimisha mboga,yaan unaenda kambi kubwaa apo msata unakuta jamaa wanalima mboga mboga kweli hatukupendaJeshi la miaka hiyo unafananisha na hili la warembo?!
Zelensky alichaguliwa kwa kura lakini amekuwa dikteta katili sana.Maduro dikteta, lolote baya limkute, Zelensky alichaguliwa kwa kura katika uchaguzi huru na haki.
Itakuwa huelewi maana ya dikteta, hakuna hata jambo moja Zelensky amelifanya kumfanya kuwa hata dikteta uchwara.Zelensky alichaguliwa kwa kura lakini amekuwa dikteta katili sana.
Udikteta unaweza kufanyiwa na kiongozi aliyechaguliwa kwa kura hapo awali kabla hajawageuka wananchi wake.
Ameitisha uchaguzi baada ya muda wake kuisha?Itakuwa huelewi maana ya dikteta, hakuna hata jambo moja Zelensky amelifanya kumfanya kuwa hata dikteta uchwara.
Ukombozi unapokaribia mkono wa Mungu uu juu ya majira na nyakati husika!Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono na China na Russia akajiona amefika.
Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.
Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.
Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.
Mto wa mbu
Acha propaganda uchwara wewe.Waulize wale magaidi wa MKIRU mwaka 2017, waulize wale washenzi wa Msumbiji waliouliwa mwaka juzi.
MwambieAcha propaganda uchwara wewe.
Wanajeshi feki wa Tz wanaweza kupambana na wananchi tu.
Walidhalilishwa na kuuwawa vibaya sana mwaka jana pale East DRC.
Kuna yule afisa wa jeshi alivuliwa hadi nguo pale Rwanda wakati wanarudi Tz wakipitia Rwanda.
Jeshi la Tz ni upuuzi mtupu. Wao kazi yako kuonyesha ubabe kwa raia. Wapuuzi wakubwa hao.
Nchi zote duniani zikiwa vitani na adui hazifanyi uchaguzi, hata Uingereza ilipokuwa vitani wakati wa WWII haikuwa inafanya uchaguzi.Ameitisha uchaguzi baada ya muda wake kuisha?
Hakamati kinguvu watu wakauwawe vitani?
Kama hawataki alitakiwa awashitaki wafungwe na siyo kuwateka na kuwapeleka kwenye kifo.
Hajafanya hila ya kuwavuruga taasisi ya kuchunguza rushwa ilitokuwa inafanya uchunguzi ubadhiriy ndani ya ofisi yake? Mkumbuke Andriy Yermak mtu wa karibu wa Zelensky.
Hajavamia na kuwasumbua kanisa la Orthodox?
Hajafunga watu sababu wanaongea lugha ya kirusi?
Maduro kadakwa kama bata, ni huzuniDah! Jamaa wapo mbele sana kivita!, sikudhani kama maduro angedakwa mapema vile.