Jichanganye tu Kama ugali maharage wa jela! Eti EU! Yaani kwa elimu yako huujui uhusiano wa NATO ya EU na marekani? Na vile mlijitia vimbelembele kuililia Palestina mtajua tu maana ya usiwe rafiki wa adui yangu!Uhusiano wa Venezuela na USA tofauti kabisa na Tanzania na USA, huko Mmarekani anafuata mafuta, Tanzania yamegundulika madini sio mafuta.
Who are you waliambiwa wale mashoga wa EU hakuambiwa Mmarekani.
Umeifuatilia SA kilichomkuta baada ya kuandaa G20 ya mchongo? Kuna makubwa yatamkuta muda mfupi ujao na atajuta kuipigania Palestina na kuishtaki Israel ICC.
Badala ya kutafuta lobbyist wa kimataifa awapatanishe na mliowananga who are you mnajificha kwenye makambi ya jeshi. Dunia imevaa bukta kwa Sasa inatrot!