Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

We We jamaa eti mishikaki ya chatu
 
.......mbabe mwenzake..ingawa waliua vakuable asset ndani ya circle and walls.....iran
#Iran ni Swala la Muda Wala si mbabe Kwa America ,zipo strategic reason why USA can't attack Iran in a full scale war ,na sababu ni Saudi ,Qatar japo ni Maadui wa Iran ,,,Iran will never posses nuclear war
 
Pia kuna kauli ya Netanyahu, tutashambulia popote pale penye viashirio vya mashambulizi ya wakristo
 
Madulo ndiyo nani dunia hii? Kuandika huwezi je ndiyo utakuwa na uwezo hata wa kutoa ushauri?
US ametukosea sana kuacha huu upuuzi wa nchi kujiamulia mambo yake ya ndani. Kitendo hicho kimechangia nchi nyingi kuwa na viongozi wakatili na wanaokaa madarakani bila ridhaa ya umma bali kwa mtutu wa bunduki. Matokeo yake hata viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura na kufanya mauaji wanapata jeuri ya kutema shit hadharani. US anatakiwa arudi kwenye nafasi yake, fuata demokrasia, huwezi kaa kushoto.
 
Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
Linamnadiakia ikulu ndogo Tunguu. Mpaka lugalo wajipange! watu washasepa.
 
Kabi
Kabisaaa
 
Usimuamshe aliyelala
 
Maduro dikteta, lolote baya limkute, Zelensky alichaguliwa kwa kura katika uchaguzi huru na haki.
Zelensky alichaguliwa kwa kura lakini amekuwa dikteta katili sana.
Udikteta unaweza kufanyiwa na kiongozi aliyechaguliwa kwa kura hapo awali kabla hajawageuka wananchi wake.
 
Zelensky alichaguliwa kwa kura lakini amekuwa dikteta katili sana.
Udikteta unaweza kufanyiwa na kiongozi aliyechaguliwa kwa kura hapo awali kabla hajawageuka wananchi wake.
Itakuwa huelewi maana ya dikteta, hakuna hata jambo moja Zelensky amelifanya kumfanya kuwa hata dikteta uchwara.
 
Itakuwa huelewi maana ya dikteta, hakuna hata jambo moja Zelensky amelifanya kumfanya kuwa hata dikteta uchwara.
Ameitisha uchaguzi baada ya muda wake kuisha?
Hakamati kinguvu watu wakauwawe vitani?
Kama hawataki alitakiwa awashitaki wafungwe na siyo kuwateka na kuwapeleka kwenye kifo.
Hajafanya hila ya kuwavuruga taasisi ya kuchunguza rushwa ilitokuwa inafanya uchunguzi ubadhiriy ndani ya ofisi yake? Mkumbuke Andriy Yermak mtu wa karibu wa Zelensky.
Hajavamia na kuwasumbua kanisa la Orthodox?
Hajafunga watu sababu wanaongea lugha ya kirusi?
 
Ukombozi unapokaribia mkono wa Mungu uu juu ya majira na nyakati husika!
 
Waulize wale magaidi wa MKIRU mwaka 2017, waulize wale washenzi wa Msumbiji waliouliwa mwaka juzi.
Acha propaganda uchwara wewe.

Wanajeshi feki wa Tz wanaweza kupambana na wananchi tu.

Walidhalilishwa na kuuwawa vibaya sana mwaka jana pale East DRC.

Kuna yule afisa wa jeshi alivuliwa hadi nguo pale Rwanda wakati wanarudi Tz wakipitia Rwanda.

Jeshi la Tz ni upuuzi mtupu. Wao kazi yako kuonyesha ubabe kwa raia. Wapuuzi wakubwa hao.
 
Mwambie
 
Nchi zote duniani zikiwa vitani na adui hazifanyi uchaguzi, hata Uingereza ilipokuwa vitani wakati wa WWII haikuwa inafanya uchaguzi.
Nchi ZOTE duniani huwa zina sheria ya military draft/conscription (sheria ya kulazimisha raia yoyote kujiunga na jeshi) wakati wa vita.
Mengine yote uliyoandika ni uongo mtupu na propoganda za Putin kutokea Kremlin na MAGA wa Trump ambazo Pro-Russia mmelishwa na mnazirudiarudia kama Kasuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…