Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

Kwanini Yermak kajiudhuru/jiuzuru nafasi yake serikalini?
Kwanini serikali ya Ukraine walivamia ofisi za kuchunguza ubadhirifu na rushwa?
 
Mchina nae atapata sababu ya kuchukua Taïwan. Mrusi nae ndo kapata sababu ya kumuondoa Zelensky.
Taiwani? Unajua kwanini mpaka sasa China haitendei Taiwan kama anavyoitendea Hong Kong?

Russia hana lolote alijaribu kupeleka wanajeshi wake Kiev unajua nini kilimkuta? Wenzake wapo Caracas muda huu wanapanga uongozi mpya.
 
Mkuu nimecheka mpaka nimepaliwa 🤣🤣😀
 
Na waache kuwalimisha mboga,yaan unaenda kambi kubwaa apo msata unakuta jamaa wanalima mboga mboga kweli hatukupenda
JKT Ndo wakulima..
JWTZ Wanalinda bi chura na genge lake la mapimbi ya kijani!
 
Mimi sikutegemeaga kama Tanzania ingeweza kupata Rais mwanamke mshenzi na hayawani kama huyu Samia..

She's a devil herself 👿 👿 👿 in a woman - human being shape....!!
 
Hii ya kubugia popo ni Kali sana.
 
Samia Suluhu ni puppet wa mabeberu huwezi kumfananisha na Maduro au Traore, si mnaona kina Kikwete wako Washington kila mwezi
 
Mambo ya maslahi hayo.
Wakwetu akiwabania rasilimali zetu kaisha.
Sasa mliokuwa mna mlaani Putin Kuvamia Ukraine kutetea watu wa Dobas mje mlaani kuvamiwa kwa Venezuela kwa kigezo cha kutetea au kulinda demokrasia.
Duniani ukoloni haujaisha.
UTUMWA UTAENDELEA MPAKA MWISHO WA DUNIA
 
Wapo hapo jirani tu Chagos island, na kule kwa KP wako mlimani hivyo ni sekunde tu kupiga mission.
 
Maduro dikteta, lolote baya limkute, Zelensky alichaguliwa kwa kura katika uchaguzi huru na haki.
Soma link ya chini.
Sasa tutaanza kuelewana tunaposema hii haikuwa kuhusu demokrasia bali matumizi ya nguvu kuchukua kinguvu rasilimali za nchi nyingine huru. Ukisikia imperialism ndiyo hii.
Huu ni ukoloni kwa sura nyingine.
Bado anaitaka Greenland na Panama Bay kwa muundo huu.
Hapa ndiyo tufunguke akili kwanini Trump anakubaliana na mambo mengi ya Russia kwenye mgogoro wa Ukraine.
Sababu na wao wanataka au wanafanya uvamizi Kama huo wa Russia.
Nakubaliana nawe udikteta wa Maduro umechangia kuwapa sababu Marekani kuwavamia.
 
Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
ushaambiwa wale wajuba wakitaka kuvamia wanaulemaza kwanza mfumo wenu wa ulinzi ndio madege yao yanaingia bila kuonekana, wanafanya yao na kuondoka ghafla
 
Kama hatuna teknolojia kali za kujilinda dhidi ya maadui wa nje basi turudie zama za kale. Tutumie nyuki, fisi, bundi, wadudu, mazingaombwe, uganga kuwapoteza maboya maadui. Drone ikitumwa huko mbali ikija ipotee hewani, madege yakitumwa wanaoyaongoza wachanganyikiwe akili wasijue la kufanya. Wakipanga kuvamia washikwe na tumbo la kuhara, walegee na waone giza
 
Thread 'Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi' Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi
 
Wakoloni weusi, wazawa wenzetu wanaweza kuwa wabaya kuliko hata Wakoloni Wazungu kutoka mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…