Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais Samia amesema Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale tunamengi yakufanya East Africa Community ni Community kubwa ya kiuchumi inajilewa, inayoweza kusimama yenyewe Tuna mengi ya kufanya.
Soma Pia: Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu
Rais Samia Suluhu Hassan ameyesema wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam Mei 4, 2026