Samia: Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale

Samia: Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale

Yeye ndio kakosana na dunia kwa kujipachika madaraka kwa njia ya mauaji asiwajumuishe na Ruto!
 
Ukimsikia Ruto anavyo ongea kwa hoja, halafu umsikilize huyu Zanzibar Finest, unaona kabisa kama nchi tumepatwa. Hana sifa ya kukalia kile kiti cha enzi.
 
Damu nzito kuliko maji (tarehe 29)
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom