Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ambae sio kibaraka ndio wewe au Mbowe au nani?Kama ilivyo wezekana kwa kwa yule mzalendo vivo hivo na kwa huyu kibaraka ccm ni mbwa wanaojitafuna wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambae sio kibaraka ndio wewe au Mbowe au nani?Kama ilivyo wezekana kwa kwa yule mzalendo vivo hivo na kwa huyu kibaraka ccm ni mbwa wanaojitafuna wenyewe
Ni katiba mpyaAmbae sio kibaraka ndio wewe au Mbowe au nani?
Ndio itakuongezea ugali mezani au?Ni katiba mpya
Yes! But in fact they have never won a free election.What you fail to understand, is you think she cares,but she doesn't! They can win an election either way fair or unfair
Karibu tena nduguOstichegg acha uchochezi huo, Tume ipo huru na inafanya kazi za ke kwa weredi na kwa kufuata Sheria za Uchaguzi. Uchaguzi ukufanyika kila Mgombea hupata kura zake kwa uwazi na Mshindi hutangazwa kwa uwazi na si kificho .
Sisi sio coloni la zanzibar.2025 utatumika dola kumrudisha mama madarakani. Kwani 2020 jiwe alishinda? Si alijisimika na kulindwa na dola? Sasa mama atamuogopa nani? Mama atafia ikulu. Au akiona vipi atamwachia kiti Shaka A. Shaka.
Wa kupewa labda sio wa kuchaguliwa.Labda atake mwenyewe mkuu, huyu anaendelea vipindi vyake viwili
Sijajua kwa nini hajamtoa DGIS mpaka sasaHuyu mama naona system yake bado anatumia ile ya mwendazake, lengo lao ni kumwangusha kiutawala ili 2025 awe si chochote mbele ya macho ya wa Tz. ajitafakari sana watu wake na awe makini nao.