Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

Ostichegg acha uchochezi huo, Tume ipo huru na inafanya kazi za ke kwa weredi na kwa kufuata Sheria za Uchaguzi. Uchaguzi ukufanyika kila Mgombea hupata kura zake kwa uwazi na Mshindi hutangazwa kwa uwazi na si kificho .
Karibu tena ndugu
 
Attachments

  • Waliyotumiwa kuharibu uchaguzi.mp4
    8.6 MB
2025 utatumika dola kumrudisha mama madarakani. Kwani 2020 jiwe alishinda? Si alijisimika na kulindwa na dola? Sasa mama atamuogopa nani? Mama atafia ikulu. Au akiona vipi atamwachia kiti Shaka A. Shaka.
Sisi sio coloni la zanzibar.
Watuachie nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kwani Chichiem wanashawishigi wapiga kura au wanashawishigi PILISICCM???
MI NADHANI MARA YA MWISHO HAWA JAMAA kushawishi wapiga kura ni 2005...na kidogo 2010.
 
Huyu mama naona system yake bado anatumia ile ya mwendazake, lengo lao ni kumwangusha kiutawala ili 2025 awe si chochote mbele ya macho ya wa Tz. ajitafakari sana watu wake na awe makini nao.
 
Huyu mama naona system yake bado anatumia ile ya mwendazake, lengo lao ni kumwangusha kiutawala ili 2025 awe si chochote mbele ya macho ya wa Tz. ajitafakari sana watu wake na awe makini nao.
Sijajua kwa nini hajamtoa DGIS mpaka sasa
 
Back
Top Bottom