Samia wakati anaingia madarakani alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.

Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya demokrasia na kufanya makosa makubwa sana.

Hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ni kama amevurugwa kabisa watu wamehamasisha uwepo wa uchaguzi wa haki wameitwa magaidi, watu wame shauri kukomesha masuala ya utekaji wameitwa mashetani, watu wamekuja kusikiliza kesi ya Lissu wamepigwa
 
Attachments

  • FB_IMG_17490578847987323.jpg
    FB_IMG_17490578847987323.jpg
    1.1 MB · Views: 28
Wanaomzunguka ili kulinda mirija yao ya ulaji wanamweka kwenye ENGO fulani ambayo analazimika kufanya anayo fanya ili wale 'jamaa' waendeleze kufyonza vitu kwa mirija.

Ushauri mbaya anaopewa n.k. sitaki kuamini kwamba hayo ni maamuzi yake binafsi.
 
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.

Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya demokrasia na kufanya makosa makubwa sana.

Hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ni kama amevurugwa kabisa watu wamehamasisha uwepo wa uchaguzi wa haki wameitwa magaidi, watu wame shauri kukomesha masuala ya utekaji wameitwa mashetani, watu wamekuja kusikiliza kesi ya Lissu wamepigwa
She has maintained ila mlitaka kumpanda kichwani becquse she is a woman

Magu and jakaya showed tou thr power

And you must abide to
 
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.

Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya demokrasia na kufanya makosa makubwa sana.

Hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ni kama amevurugwa kabisa watu wamehamasisha uwepo wa uchaguzi wa haki wameitwa magaidi, watu wame shauri kukomesha masuala ya utekaji wameitwa mashetani, watu wamekuja kusikiliza kesi ya Lissu wamepigwa
TATIZO ni wapambe wanaomzunguka, Mama Samia kama Samia hana shida Kabisa ila sasa..... CHAWA
 
Unapojiandaa Mungu naye anajiandaa

Awamu ya pili itaondoka na yeye!!!
 
Nadhani wanaokula nyama za watu huwa inawawia vigumu kula wanapoanza ila wakishatafuta mara 2 mara 3 na kuona pengine tamu watataka waendelee kula
 
Umenikumbusha wale siafu wakubwa,

Yuko Radhi kutolewa kichwa kuliko kuacha kukuuma.
 
Back
Top Bottom