Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
She has maintained ila mlitaka kumpanda kichwani becquse she is a womanSamia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.
Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya demokrasia na kufanya makosa makubwa sana.
Hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ni kama amevurugwa kabisa watu wamehamasisha uwepo wa uchaguzi wa haki wameitwa magaidi, watu wame shauri kukomesha masuala ya utekaji wameitwa mashetani, watu wamekuja kusikiliza kesi ya Lissu wamepigwa
TATIZO ni wapambe wanaomzunguka, Mama Samia kama Samia hana shida Kabisa ila sasa..... CHAWASamia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.
Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya demokrasia na kufanya makosa makubwa sana.
Hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ni kama amevurugwa kabisa watu wamehamasisha uwepo wa uchaguzi wa haki wameitwa magaidi, watu wame shauri kukomesha masuala ya utekaji wameitwa mashetani, watu wamekuja kusikiliza kesi ya Lissu wamepigwa
alisemaje ?Haukumwelewa