Haitoshi ongeza mitatuSamia mitano tena...
Usisahau hata wahuni hua wanazeeka sio Kila mtu mzima ana busaraHivi utu uzima si pamoja na busara ? Basi sawa !
Endelea kulinda mke wako kakaAlochosema nikweli kuwa tusikubali kushawishika hivyo hata yeye asitushawishi tusiandamane!!
Kuandamana hatujashawishika na mtu yeyote yule. Asitushawishi!
Lissu hapa Tz anakaa ghetto familia yake iko Belgium anataka kukinukisha wakati hata kukimbia hawezi kwasababu ana uhakika wa kwenda kujificha ubelgijiKuna watu wenyewe wana Wajomba zao Oman. Ni suala tu la kupanda jahazi na kwenda kuendelea na maisha. Halafu wanatuzuga eti.
Huyo ana option moja.Lissu hapa Tz anakaa ghetto familia yake iko Belgium anataka kukinukisha wakati hata kukimbia hawezi kwasababu ana uhakika wa kwenda kujificha ubelgiji
Hata hivyo inahitajika option moja tu maana huwezi kujipasua katikati ukaenda koteHuyo ana option moja.
Wenzie Wana Muscat na Dubai.
Option nyingi ni confidence.Hata hivyo inahitajika option moja tu maana huwezi kujipasua katikati ukaenda kote