GE2025 Samia: Wanaoshawishi fujo wana pa kwenda, familia zao haziko Tanzania

GE2025 Samia: Wanaoshawishi fujo wana pa kwenda, familia zao haziko Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Damu za watoto wao mnazitaka za nini? Kuwaweka gerezani, kuwaumiza, kuwapoteza bado haitoshi mnataka na familia zao?
 
Wako wapi ACT? hatuoni zambarau zao kwenye media, wako wapi CHAUMMA na nyekundu zao? ni kijani tu ndio imetawala media zote za nchi hii. Ina maana hivyo vyama havina media za kufanyia propaganda zao? Hata kununua airtime kwenye media fulani hawana hela? CCM wasema hawatachanganya pumba na mchele ina maana vyama vyote shikizi vitaangukia pua bila kupata mbunge na diwani nchi nzima!
Zitto Kabwe atawawakilisha wote hao.
 
Zitto Kabwe atawawakilisha wote hao.
ina maana baba levo atapigwa chini ili zito ashinde? Pwani na Tanga wamesema hawatachanganya pumba na mchele, hiyo ni idea ya mwenyekiti wa ccm mstaafu aliyoitoa huko pwani na inasambaa mikoa yote kwamba nao hawatachanganya mchele na pumba. Sasa huyo zito atashindaje wakati ni pumba?
 
Zitto hawezi kuwa "pumba" Hao wachambuzi wa pumba na mchele wanajuwa wenyewe namna ya kuzitambua pumba zisizokuwa pumba halisi.
 
Zitto hawezi kuwa "pumba" Hao wachambuzi wa pumba na mchele wanajuwa wenyewe namna ya kuzitambua pumba zisizokuwa pumba halisi.
kwa hiyo zito ni mtu wao, hawatakubali aangushwe na baba levo? Tuseme baba levo anamsindikiza zito?
 
Huyu mama ameanza kuchanganyikiwa, Wao wanaotuibia na kuminya haki familia zao ziko wapi?
 
Lissu hapa Tz anakaa ghetto familia yake iko Belgium anataka kukinukisha wakati hata kukimbia hawezi kwasababu ana uhakika wa kwenda kujificha ubelgiji
Kabla ya lile shambulizi dhidi yake la risasi ,familia yake pia ilikua ikiishi nje?
Kama sivyo tafakari.
 
Na wanaochochea tutiki familia zao zinaishi kwa raha hapa nchini🐼✅
 
Yamekuwa hayo tena!
Kwani CCM walisema watakinukisha au CDM ndo waliosema. Lianzisheni tu

..utekaji, utesaji, na mauaji mliyohusika nayo, kumbe bado hamjalianzisha, wala kukinukisha?!! Duh!
 
Back
Top Bottom