Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kushawishika na watu wenye nia ovu kuharibu amani ya nchi, kwani wanaofanya hivyo wanapo pakukimbilia.
Adul na familia yake wana makazi Dubai. No reforms no election. Hivyo Mama watanzania wakubali tu kutawaliwa kwa matakwa ya familia tatu tu kikwete, Samia na Mwinyi