Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

kwani unadhani matatizo ya simu yako uliyotueleza yanatusaidia nini??
Kuna wataalam hapa wamenisaidia mkuu,pambana kutafuta hela mkuu,mambo ya kutaka kujua kila kitu cha mtu ni dalili ya wale wanawake wa uswazi wanaoshinda vibarazani, nimeleta matatizo ya simu yangu hapa ili wajuzi wanijulishe nn shida,wewe unataka kujua niliinunulia wapi,halafu ukishajua ndio iweje, mjini hapo fanya mambo yako yasiyokuhusu potezea
 
Kuna wataalam hapa wamenisaidia mkuu,pambana kutafuta hela mkuu,mambo ya kutaka kujua kila kitu cha mtu ni dalili ya wale wanawake wa uswazi wanaoshinda vibarazani,nimeleta matatizo ya simu yangu hapa ili wajuzi wanijulishe nn shida,wewe unataka kujua niliinunulia wapi,halafu ukishajua ndio iweje,mjini hapo fanya mambo yako yasiyokuhusu potezea
aliyefanikiwa kuzipata hela hana hazira za ajabu kama mjamzito.

lengo la kukuuliza ulikonunulia,ni ili uelekezwe siku nyingine ukanunue tunaponunua wenzako ambazo hazisumbui hovyo hovyo na kama ikitokea tunaruhusiwa kurudisha.
 
Note 10 Plus ni machine sana hiyo mkuu
Mkuu simu zinakwenda kwa matoleo na wasaidizi wake kila mwaka.

Samsung S10/Plus, Note 10 Plus ni water drop cameras na edge displays, matoleo andamizi camera zinakaa sehemu tofauti, A80 camera ina eject kwa juu.

Kwa hiyo usitegee kuchanganyana kwa vyovyote vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom