mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
KamaA80 ni simu mbovu kwake kuliko Tecno, unadhani tumsaidieje huyu mtuMbona umecheka mkuu vipi nimekosea kuuliza au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KamaA80 ni simu mbovu kwake kuliko Tecno, unadhani tumsaidieje huyu mtuMbona umecheka mkuu vipi nimekosea kuuliza au ?
Narudia tena nahitaji Samsung A10 ofa yangu laki mbili
Samsung nzuri kimuonekano kwa wakati wote ni S7 Edge. Na kwa kuipenda hii simu Jumanne inshaallah naichukua, iungane na hii P20 Pro nilionayo. Japo mimi sio mpenzi wa Samsung, mmi team Huawei P20 Pro.
Kiongozi, Hapo unazungumzia P20 Pro au S7 Edge?Simu nzuri lakini haipokei official updates hata huwezi iupdate mpaka Android Pie achilia mbali Android Q.
Kiongozi, Hapo unazungumzia P20 Pro au S7 Edge?
Niuzie hiyo 20 ProKiongozi, Hapo unazungumzia P20 Pro au S7 Edge?
Natumia zote kiongozi.Niuzie hyo 20 Pro
Mgagaa na Upwa, a70
Ni simu nzuri kuanzia Camera (japo inakosolewa sana picha zake ni mbovu ukiwa kwenye mwanga mdogo, ila ni hapo tu), battery kubwa, lazima umalize siku data on, screen kubwa, kioo bora. Japo pia body yake ni plastic (hili kwa watu wengine sio ishu maana simu muda wote ipo kwenye cover) speaker zake sio bora sana. Matatizo yake fingerprint ipo slow sana.
S8+ ilikubumia nn?Ahsante kiongozi,nimeichukua hii kitu,binafsi si mpenzi sana wa picha,so kwa hii camera haina shida kwangu,shida ipo kwenye hizi speaker,yan mpk najuta,hazina mlio kabisa tofauti na s 8+ iliyonibumia hadi nikaingia kwenye a70!
S8+ ni moja ya matoleo ya samsung s-series yenye speaker mbovu kbsaa, yaani km una s8+ ukaona mziki wake ni mzuri, basi ujue kwa s-series hapo bado sana, shika s9+(bora tuu isiwe refub au mbovu) uone jinsi sterio speaker zinavyopita masikioni mpk kumoyo..Ahsante kiongozi,nimeichukua hii kitu,binafsi si mpenzi sana wa picha,so kwa hii camera haina shida kwangu,shida ipo kwenye hizi speaker,yan mpk najuta,hazina mlio kabisa tofauti na s 8+ iliyonibumia hadi nikaingia kwenye a70!
Duu mkuu kwaio ulichukuaaa?Ahsante kiongozi,nimeichukua hii kitu,binafsi si mpenzi sana wa picha,so kwa hii camera haina shida kwangu,shida ipo kwenye hizi speaker,yan mpk najuta,hazina mlio kabisa tofauti na s 8+ iliyonibumia hadi nikaingia kwenye a70!
Duu mkuu kwaio ulichukuaaa?
Si uliniuliza humu nikakuambiaaa hilo tatzo?
Sasa bora hioo, chukua A50's uoneee..
Mm nimesema humu na narudia, samsung A-series za mwaka huu nyingi ni jipuu KULINGANISHA, na matoleo ya nyuma, tunaweza tetea tuu sbb ndio tunazo kwa ss na huja compare na matoleo ya 2016,
Mtu aje hapa aseme shida za samsung A-series za mwaka 2016 tuone,
haya ona A70 unatoa almost 700k au zaidi ina ku disapoint kwenye kitu kdg lkn muhimu km speaker,
ile A80 yenye camera ya kuzunguka hata siiamini,
ndio kwanza tech ni mpya, sidhan km inaweza kuhimili ile physical motion kwa mda mrefu, unakua unaitumia kwa mashaka km simu ya ku slide au kufunua...
Keep my word ikishapita mda flan utasikia watu wakiilalamikia ile camera..
Battery yenyewe imebidi iwe 3500mha sbb ya ile physical motion camera, wakat hio A70 ina 4500mha,
Mkuu tafta mtu muuzie hio kitu kabla hazijajaa nazo, then top up chukua S10+, (usije ukachukua s9+ though huwezi ukailinganisha na hio hata kdg), toka kwenye hio series kbsaa., ukijindanganya uka upgrade kwenye hizi Lets say A50's imekula kwakooo.....
Kwa lipi mkuu mimi nina A30 naenjoy fast chaji, super amoled, internal 64, RAM 4, betri 4000mah, 4G, kioo kikubwa haya nipe hizo specs za hiyo S5 yako tuone kama inatia maguu kwa A30
Boss hio simu haina tatzoo....boss s9+ ina tatizo gani
nenda kwa mwamposa utakuta maagizo yangu.Natumia A50 iko vizuri ila samsung app zake sijazipenda nimezoea tecno