Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Umewahi miliki S6 Edge au S7 Edge?
Kwahiyo S10 haina edge!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo S10 haina edge!!!
S7 Edge ndio ninayo hapa. S10 niliikuta kwa jamaa yangu.Umewahi miliki S6 Edge au S7 Edge?
Sawa wazee wa Samsung mimi nipo LG huku tena huku kijijini kwetu ninayo peke yangu
Mpya au used?Ndio maana nasema mwenye nayo tuchekiane pm au we unayo mzee mwenzangu?
Unafata camera Mr Daraja?Kama hupendi sare sare
Used mkuuMpya au used?
Kununua vitu bei ghali nayo sio ujanja. Cha msingi uhakiki wa bidhaa. iPhone hata mtu akikwambia nauza laki 7 iPhone 8plus, ina shida kwenye camera ya nyuma una uhakika hilo ni tatizo la kurekebishika. Kwenda dukani kutobolewa 1.5 million kisa haina shida kabisa ni matumizi mabaya ya pesa.1,200,000 ukienda dukani ukiulizia iPhone 8 waambiwa bei zaidi ya hio
S7 Edge ndio ninayo hapa. S10 niliikuta kwa jamaa yangu.
Kwa lipi mkuu mimi nina A30 naenjoy fast chaji, super amoled, internal 64, RAM 4, betri 4000mah, 4G, kioo kikubwa haya nipe hizo specs za hiyo S5 yako tuone kama inatia maguu kwa A30
M30 umenunua sehemu gani na sh ngapi?Hata mimi S series sijatokea kuzipenda kama Note series ingawa now nipo na M30 najichanga ninunue note 10+ ingawa bei yake ni ndefu balaa.
Mkuu ni technology ya viewing na functionality iliyokuwa introduced kwenye display ya simu. Neno AMOLED tu lenyewe linazungumzia sana sana software na display ni hardware.Mkuu Super Amoled ni software au ni aina ya kioo? ie. TFT Display, LCD Display na Super Amoled?
Utapata usijali mkuu, kuwa mvumilivu. Ni simu nzuri kabisa kwa bajeti ndogo.Narudia tena nahitaji Samsung A10 ofa yangu laki mbili