Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

Huenda hata hiyo S10 unaiona Youtube tu mkuu hujawai igusa. Hapa ni mapenzi binafsi. Mimi Edge za S6 series zinanivutia zaidi ukiongeza na Edge functionality zake. S8 edge ilipunguzwa alichofanya ni kuongeza tu screen to body ratio. All in all mimi ni mpenzi wa Edge kuliko hii mi notch
Unachekesha!! Huwezi fananisha design ya S6 edge na S10+
 
Huenda hata iyo S10 unaiona Youtube tu mkuu hujawai igusa. Hapa ni mapenzi binafsi. Mimi edge za S6 series zinanivutia zaidi ukiongeza na edge functionality zake. S8 edge ilipunguzwa alichofanya ni kuongeza tu screen to body ratio. All in all mimi ni mpenzi wa edge kuliko hii mi notch
Kwa hiyo S10 haina edge!!
 
Umeongea ukweli mtupu, hizi simu za A series zimetengenezwa na mtengenezaji wa simu za Xiaomi ajulikanaye kama FAXCON, Samsung yeye ametoa licence ya kutengeneza hizo simu kwa vigezo vyake, lengo ni kwenda sawa na mid range za kichina zilizoteka soko kwa budget phones

reyzzap
 
Binafsi natumia S8+ naikubali sana S series. Changamoto iliyonikumba katika simu hii ni protector tu kila nikiweka inabanduka nimeamua kutumia bila protector. S series zimekamilika kila kona wala sijafikiria kuhama huku
 
Binafsi natumia S8+ naikubali sana S series. Changamoto iliyonikumba katika simu hii ni protector tu kila nikiweka inabanduka nimeamua kutumia bila protector. S series zimekamilika kila kona wala sijafikiria kuhama huku
Zipo protector nzuri za kutumia UV light. Sio za kubandika hizi zikishika zimeshika hutokaa ujutie kama upo interested njoo PM
 
S series ni nzuri mno kwenye display na camera ila ubovu wake ulikuwa battery (S6, S6 Edge, S7 na S7 Edge). A series ni nzuri mno kwenye battery pia ni Duos ila display na camera bado (A10, A20). Kwa hivyo kila mtu achague simu kuendana na matumizi yake
 
Me nilikuwa S series, nimekuja Note nimegundua nilikuwa nakosa ladha flani,

Kwa sasa mimi ni Note series, Note 9. Inshallah January Note 10+
 
Hata mimi S series sijatokea kuzipenda kama Note series ingawa now nipo na M30. Najichanga ninunue Note 10+ ingawa bei yake ni ndefu balaa
Me nilikuwa S series, nimekuja Note nimegundua nilikuwa nakosa ladha flani,

Kwa sasa mimi ni Note series, Note 9. Inshallah January Note 10+
 
Nilikuwa na kiherehere cha kununua A30 zilivyo toka tu hela ndefu. Ila laiti ningejua zingekuja kutoka nyingi hivi na kwa bei rahisi mara 10 ningenunua Tecno nitulie tu. Kiufupi inapo elekea kwa style hii Samsung wataipoteza brand yao kizembe
Nikupe hela hiyo simu
 
Hivi toka watoe IPhone X wametoa toleo jipya kweli hawa jamaa?
 
Mkuu kuna iPhone11, iPhone11 Pro na 11 Pro Max. Simu hatari sana ila bei yake utanunua Starlet na chenji itabaki Hardbody

IMG-20191027-WA0032.jpeg
 
Back
Top Bottom