Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Kama haina VOLTE. Basi sahau ilo jambo. Simu zote ni dual standby hivyo mambo ni kupokezana kama ina line 2. Kingine kama simu yako haina feature ya kuruhusu line unayoongelea (kwa wakati huo ukipigiwa) kwenye screenshot imeandikwa use mobile data during VOLTE calls on the secondary SIM nalo piaa sahauAssalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki
Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
Mwanzoni ilikuwa fresh this time ndio imekuja kuzingua may be kuna setting nimevurugaA05 haina Voice Over LTE ,ina 4G kwahiyo ukipigiwa simu 4G(Intenet speed kubwa) itaondoka na kuja 3G au 2G ili uweze kupokea simu 2G/3G data speed yake ni ndogo sana ndiyo maana unasema kwamba haina internet ,si kweli ukipigiwa simu internet inakata..
Inayo mkuuKama haina VOLTE. Basi sahau ilo jambo. Simu zote ni dual standby hivyo mambo ni kupokezana kama ina line 2. Kingine kama simu yako haina feature ya kuruhusu line unayoongelea (kwa wakati huo ukipigiwa) kwenye screenshot imeandikwa use mobile data during VOLTE calls on the secondary SIM nalo piaa sahau
Iko hivo je kuna sehemu nimevurundaA05 haina Voice Over LTE ,ina 4G kwahiyo ukipigiwa simu 4G(Intenet speed kubwa) itaondoka na kuja 3G au 2G ili uweze kupokea simu 2G/3G data speed yake ni ndogo sana ndiyo maana unasema kwamba haina internet ,si kweli ukipigiwa simu internet inakata..
Sawa mkuu ngoja nijipangePole Sana...sema kama ni mdau wa Samsung wa A series at least usogee Hadi A50's huko.
Jaribu kuturn off hizo volte.Iko hivo je kuna sehemu nimevurunda
Sawa ngoja nifanye hivoJaribu kuturn off hizo volte.
Sawa mkuu, utatupa na mrejesho.Sawa ngoja nifanye hivo
Nimesharekebisha mkuuSawa mkuu, utatupa na mrejesho.
Changamoto ni simu yakoInayo mkuu
Unatumia mtandao gani?Changamoto ni simu yako
Changamoto ni simu yako
YAs na Airtel ila nimeshafanikiwa 🙏Unatumia mtandao gani?
Pamoja sana mkuuYAs na Airtel ila nimeshafanikiwa 🙏
🫡Pamoja sana mkuu
Kampuni ni mbili tu samsung vs IphoneSamsung for Life...