Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

Wanasema S 26 inakaa chaji masaa 34 na huku ukiangalia movie hilo tangazo lipo hapa wanaaita A I phone ngoja niendelee kuwasotea.
Sawa ila kampuni mama ndio hizo no one can compete with this brand
 
Back
Top Bottom