Samsung A22 ipoje wakuu msaada

Samsung A22 ipoje wakuu msaada

Mediatek ni kama Tekno tu,hapo hamna simu
Halafu kuna kitu watu hawajui, resolution ya kioo cha simu pamoja na ppi density ndio inafany kamera ionekane inafanya kazi nzuri sasa unakuta camera 15 megapixel kioo resolution 700×1200
Ppi density 267, unapiga picha nzuri lakini huwezi kuziona vizuri kwakuwa kioo sio kizuri...hapo maana yake hamna kitu umepigwa

Kwangu mimi simu ili iwe nzuri ukiachana na vitu vingine ppi lazima ziwe zaidi ya 400
Dah Sasa mkuu unafanyaje ukienda dukani na unataka kujua hizi mbanga zote?
 
Umeidogosha sana.
A22 imetulia kwa uimara. Sijaweka protector ya screen tangu 2022 na imeanguka sana hakuna mchubuko kwenye kioo.

Mkuu hebu rekebisha kauli
Ndo simu ninayotumia. Cjaongelea ugumu, physically. Yes, ni ngumu. Kwa normal uses ni simu poa
 
Umeidogosha sana.
A22 imetulia kwa uimara. Sijaweka protector ya screen tangu 2022 na imeanguka sana hakuna mchubuko kwenye kioo.

Mkuu hebu rekebisha kauli
Kwenye uimara ni noma mi natumia Samsung A24 kwa mwaka na miezi kadhaa imeanguka sana ila hakuna hata mchubuko kwenye kioo, camera iko vizuri sana, na chaji inakaa muda mrefu
 
Dah Sasa mkuu unafanyaje ukienda dukani na unataka kujua hizi mbanga zote?
Jua simu unayotaka kabla ya kwenda dukani,au mtu akikuambia simu fulani ni nzuri,ingia GSM arena angalia specifications kama nilivyosema hapo juu,kila kitu kipo wazi
 
Ukiwa na akili zako timamu sidhani kama unaweza kutoa hela yako ukanunua simu kama A22,A05s hamna simu hapa ni takataka. HIZI TAKATAKA ZINAZIDIWA HADI NA TEKNO.

Angalau A34 au A35 na kuendelea. Kuna wapuuzi wanasema mediatek ni soc mbaya ukiwauliza kwanini hawana majibu? Mediatek ni soc nzuri sema tecno wanatumia mtk dhaifu zenye uwezo mdogo. Unaijua mediatek d9300+ hakuna snapdragon inagusa huu moto ukiitoa snapdragon elite itakayotoka mwakani.
 
mkuu vip A42 iko poa maan na mpango wa kuchukua
 
Back
Top Bottom