Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Achana na A hizo kamata flagshipKama ipi mkuu A05s au A06?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na A hizo kamata flagshipKama ipi mkuu A05s au A06?
Sawa S9+Itakuwa poa au unasemaje mkuuAchana na A hizo kamata flagship
kutangaza bidhaa mtandaoni mkuuUNataka kwa ajili ya kazi gani ?
Dah Sasa mkuu unafanyaje ukienda dukani na unataka kujua hizi mbanga zote?Mediatek ni kama Tekno tu,hapo hamna simu
Halafu kuna kitu watu hawajui, resolution ya kioo cha simu pamoja na ppi density ndio inafany kamera ionekane inafanya kazi nzuri sasa unakuta camera 15 megapixel kioo resolution 700×1200
Ppi density 267, unapiga picha nzuri lakini huwezi kuziona vizuri kwakuwa kioo sio kizuri...hapo maana yake hamna kitu umepigwa
Kwangu mimi simu ili iwe nzuri ukiachana na vitu vingine ppi lazima ziwe zaidi ya 400
A05 bei 220kKama ipi mkuu A05s au A06?
Huko hatujafika bado.Vipi Camera yake mkuu ?
A72 ya zamani ila ipo poa sana.. sipati picha A73 ikoje..Achana na A hizo kamata flagship
A05s mkuu sio plain bei zake zipo sawa?A05 bei 220k
Kwa dsm wapi wanauza kwa bei nzurisamsung A15 iko poa sana mkuu utafurahi ukitumia BEI mpya 390-365 inategemea na duka
Ndo simu ninayotumia. Cjaongelea ugumu, physically. Yes, ni ngumu. Kwa normal uses ni simu poaUmeidogosha sana.
A22 imetulia kwa uimara. Sijaweka protector ya screen tangu 2022 na imeanguka sana hakuna mchubuko kwenye kioo.
Mkuu hebu rekebisha kauli
S10+Sawa S9+Itakuwa poa au unasemaje mkuu
Camera ya kawaida, ila usefulnashukuru mkuu kwa ushauri wako so far camera inaweza endana A13?
Kwenye uimara ni noma mi natumia Samsung A24 kwa mwaka na miezi kadhaa imeanguka sana ila hakuna hata mchubuko kwenye kioo, camera iko vizuri sana, na chaji inakaa muda mrefuUmeidogosha sana.
A22 imetulia kwa uimara. Sijaweka protector ya screen tangu 2022 na imeanguka sana hakuna mchubuko kwenye kioo.
Mkuu hebu rekebisha kauli
Jua simu unayotaka kabla ya kwenda dukani,au mtu akikuambia simu fulani ni nzuri,ingia GSM arena angalia specifications kama nilivyosema hapo juu,kila kitu kipo waziDah Sasa mkuu unafanyaje ukienda dukani na unataka kujua hizi mbanga zote?
S10 sio mbayaS10+
Mkuu naomba kufahamu kidogo kati ya A05s na A42 ipi boraSijui kwanini napata mashaka sana kila ninapoona simu ina chipset za MediaTeki
mkuu vip A42 iko poa maan na mpango wa kuchukuaUkiwa na akili zako timamu sidhani kama unaweza kutoa hela yako ukanunua simu kama A22,A05s hamna simu hapa ni takataka. HIZI TAKATAKA ZINAZIDIWA HADI NA TEKNO.
Angalau A34 au A35 na kuendelea. Kuna wapuuzi wanasema mediatek ni soc mbaya ukiwauliza kwanini hawana majibu? Mediatek ni soc nzuri sema tecno wanatumia mtk dhaifu zenye uwezo mdogo. Unaijua mediatek d9300+ hakuna snapdragon inagusa huu moto ukiitoa snapdragon elite itakayotoka mwakani.