Kula 150kWadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
View attachment 3316579View attachment 3316580View attachment 3316581View attachment 3316582
Hapana mkuu, ipo chini sana kwa simu hii.Kula 150k
Ni simu nzuri sana na ipo kwenye hali sawa na mpya kabisa.Laki 4 siku used ? 🙉
Bei yake dukani ni karibu mara mbili ya hapo na sijaitumia sana. Hata ukiiona ni kama mpya kabisa.430k ni bei nafuu??
OkHapana mkuu, ipo chini sana kwa simu hii.
Hapana mkuu, ipo chini sana kwa simu h
Mkuu hii sitaiuza chini ya 350k maana ni simu mpya sana, nimeitumia kidogo. Ni zile simu samsung wanazileta kwenye makampuni waliyo na mikataba nao.Nina 150k ila manunuzi sharti tuandikishane serikali za mtaa
Faza nilikuona unagombana na jamaa kwenye jukwaa la biashara..Nina 150k ila manunuzi sharti tuandikishane serikali za mtaa
Kiofisini samsung waliziuza 950k maana malipo huwa sio instant ila kwenye soko ipo kwenye 800kKweli simu ni nzuri sana chini ya 350K usiuze wewe umenunua ngapi boss.
Mkuu sogea mpaka 350k nikupatie.Kula laki 250000 boss wangu
Bei ya mpya ni 800k na mimi naiuza 350k. Ni fair kabisa ukizingatia kwamba simu ni almost mpya.Mleta mada hutopata mteja , simu used Bei ya mpya🤣🤣
Umeshafuta mkopo