Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

Nizile za mikopo.?
Mkuu hii sitaiuza chini ya 350k maana ni simu mpya sana, nimeitumia kidogo. Ni zile simu samsung wanazileta kwenye makampuni waliyo na mikataba nao.

Hata ukitaka polisi kujiandikisha ni sawa.
 
Fikiria ungenunua tecno ya laki mbili hiyo hela nyingine ukanunua mbuzi 10 kwa alfu hamsinihamsini ungekuta leo unawauza laki mojamoja huku ukiwa na smartphone yako.... Si ungepiga hela hapo?😁

Nyinyi ndio mnatunanga humu kwamba tecno,infinix na itel sio simu bali ni kalukuleta
 
Wewe umeinunua cash 950,000/ February 2025 leo hata miezi 2 bado unaiuza 350,000/?
Ofisini huwa kuna cycles za kupewa simu. Sasa hii nilipewa five months ago halafu zimetoka series mpya za A36 mwezi February wakalazimika kunipa na hiyo. Sasa sihitaji kukaa na simu mbili.
 
U
Ofisini huwa kuna cycles za kupewa simu. Sasa hii nilipewa five months ago halafu zimetoka series mpya za A36 mwezi February wakalazimika kunipa na hiyo. Sasa sihitaji kukaa na simu mbili.
Post yako # 23 umeandika siyo ya mkopo, hapa unasema ulipewa ya mkopo.
 
Shukrani, sogea kidogo mkuu mpaka 350.

ndio bajeti yangu imeishia hapo..maana mwenyewe muuzaji lazima nikae nayo tena dukani nianze kusaka mteja mpya inachukua muda mpaka kuuza nirudishe hela na kupata faida
 
ndio bajeti yangu imeishia hapo..maana mwenyewe muuzaji lazima nikae nayo tena dukani nianze kusaka mteja mpya inachukua muda mpaka kuuza nirudishe hela na kupata faida
Nimekuelewa mkuu, asante kwa interest.
 
Back
Top Bottom