Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

Godlike

Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
53
Reaction score
55
Wadau nauza hii simu yangu

Maelezo yake na picha hapo chini

Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000

 
Nina 150k ila manunuzi sharti tuandikishane serikali za mtaa
Mkuu hii sitaiuza chini ya 350k maana ni simu mpya sana, nimeitumia kidogo. Ni zile simu samsung wanazileta kwenye makampuni waliyo na mikataba nao.

Hata ukitaka polisi kujiandikisha ni sawa.
 
Haya Tuache kelele nina A24 hapa nataka 300000. Kamili chap ina week tangu niinunue Warrant mwaka mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…