Vipi haipandishi joto wakati unaitumia...?Wadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
View attachment 3316579View attachment 3316580View attachment 3316581View attachment 3316582
Hapana mkuu, ni simu original, haina hilo tatizo.Vipi haipandishi joto wakati unaitumia...?
Asante kwa taarifa mkuu. Kama itakuwepo mpaka wikiendi ijayo nitapita hapo.Nenda makumbusho ndani stend kuna duka wananua simu za mkononi
Nicheki kwenye simu mkuu. 0765137266Ipo 300k ikifaa tufanye biashara
unatumia phone gani man? Bei yake ikoje?Sijawahi kuiulizia
Wadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
View attachment 3316579View attachment 3316580View attachment 3316581View attachment 3316582
Wapi huko mkuu ?Utawapata.
A54 5G inauzwa laki nne. A55 5g ni 450k A56 5g iko 500k zote mupyaaa
nna infinix hot 10 dukani ina 300k nahisiunatumia phone gani man? Bei yake ikoje?
Anha sawa mkuu.nna infinix hot 10 dukani ina 300k nahisi