wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Bing Ni ya kiboya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yh sureGoogle imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. 🤣🤣🤣 Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.
Amini kwambaYh sure
Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa consumer preference and taste, ukimzoesha mteja wako huduma fulani akaipenda ukiibadili kuna uwezekano akakuhama
Kwa jinsi watu wameizoea google leo hii Samsung aipige chini watajikuta yaleyale yaliyowapata Huawei baada ya kuzuiwa kutumia OS ya android ikabidi waanzishe OS yao mpya Mine Harmony matokeo ni kwamba haijakidhi taste na preference ya customers wao mwisho wa siku mauzo ya simu zao yameshuka
Lazima ayumbe kibiashara kuanzia kwenye hiyo kauli pekeee kesha poteza mabillion ya dola, bado utekelezajiSio rahisi bing kuitoa google, google ana kila aina ya resource,
Ndio lakini kuna vitu bing ina results nzuri kuliko Google, bing sanasana kwa America na Europe ila inapanukaIla Bing naona ina results chache sana ukilinganisha na Google
Ndio maana ilipelekea jana mauzo ya hisa za Google kushuka kwa 3.2% baada ya hilo tamkoLazima ayumbe kibiashara kuanzia kwenye hiyo kauli pekeee kesha poteza mabillion ya dola, bado utekelezaji
Assgnments zote unaletewa mzigo wenyewe hadi ticha anafurahi mwanafunzi kichwa 😆Google imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. 🤣🤣🤣 Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.
Assgnments zote unaletewa mzigo wenyewe hadi ticha anafurahi mwanafunzi kichwa 😆
Hizi nyingine vitu kibao tu unaambiwa no results found wtf
Google imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.
Kushuka sana kwa mauzo ya semiconductors kwenya soko la duniaHasara hyo ilitokana na nini mkuu
Lazima ayumbe kibiashara kuanzia kwenye hiyo kauli pekeee kesha poteza mabillion ya dola, bado utekelezaji
Yh sure
Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa consumer preference and taste, ukimzoesha mteja wako huduma fulani akaipenda ukiibadili kuna uwezekano akakuhama
Kwa jinsi watu wameizoea google leo hii Samsung aipige chini watajikuta yaleyale yaliyowapata Huawei baada ya kuzuiwa kutumia OS ya android ikabidi waanzishe OS yao mpya Mine Harmony matokeo ni kwamba haijakidhi taste na preference ya consumers wao mwisho wa siku mauzo ya simu zao yameshuka
Google imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.
Kabisa haiko friendly kabisa kwa watumiajiBing Ni ya kiboya sana
Google inabidi wafanye reforms za kimkakatiHiyo AI sasa ndio msala sasa[emoji28],embu kaiaguze ikuandikie research ya mimba za utotoni,tena kiswahili,kisha ipe sekunde 3 uone msiba.
Nafikiri ile hasara kubwa waliyoipata Samsung ya karibu $3 bln katika mauzo ya semiconductor ndani ya robo ya kwanza ya mwaka huu 2023 (Jan-March) imewachanganya sana wanaanza kufanya maamuzi ambayo huenda yakawa-cost