Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

Kuna hasara ya muda wote zaidi ya 2016 ya note 7 kuripuka??
Ilipoteza mapato,mpaka image ya kampuni,lakini mkorea huyo hapo leo.

Kumbuka hii ni kampuni yenye miaka zaidi ya 80 duniani,unadhani imepitia hatua ngapi??

2007 apple anakuja na iphone ya kwanza,ni samsung alikuwa wa kwanza kujua upepo ni wa apple akaenda nao 2009 akatoa galaxy ya kwanza wengine wakiwa wanashangaa shangaa tu.
Leo hii kashanusa kwamba maisha ya google hayavuki miaka 3-4 ijayo,pamoja na kumbeba sana muda mrefu muda wa kumbwaga umefika[emoji28][emoji28],na hii ni hatua moja ya kuachana na android pia.
Android wakiachana nayo wataweka nn? Maana hata hiyo galaxy store bado haina ishu kiviile
 
Swali la kizushi,Wewe ungepewa nafasi ya kukaa meza moja na mabosi wa Samsung uwashauri nini wafanye ili waweze kufanikiwa kwenye huo mpango wao wa kuihama Google ungewapa ushauri gani

Sidhani kama ninachowashauri kingekuwa kipya au hawajakichukulia hatua.
Kwamba google search,google play service na playstore inafaa kuwa mali ya google na simu zao za pixel.
Yeye aimarishe tizen yake ambayo ataifanya iendane na vifaa vyake kama apple alivyo fanya.
Lakini kama ujuavyo sio swala la ghafla,linahitaji swift aproach sababu ya biashara,ndio maana unaona anatoka kiungo kimoja kimoja.

2017 nilitumia tizen samsung ikiitwa z2,ila simu ilikuwa na ram 512mb ila ilikuwa na nguvu sio mchezo,ilikuwa fluid kuliko hata s5 ya wakati ule.
 
Safi wazo Zuri,but Google akifanya kama alivyofanya apple lazima watayumba kwanza,Mwenzake Apple alianza kitambo sana

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana tahadhali ni muhimu,leo una quite search engene,kesho unatutengenezea simu za aina mbili,zinazotumia OS yako na Android,halafu za OS yako unazipa upendeleo mfano update inakwenda hata miaka 7,material frem inakuwa nzuri sana mfano body za Aseries 2016.

Lazima mauzo yahame.
 
Exactly,ngoja tuone hii battle itakavyokuwa it's a matter of time

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana tahadhali ni muhimu,leo una quite search engene,kesho unatutengenezea simu za aina mbili,zinazotumia OS yako na Android,halafu za OS yako unazipa upendeleo mfano update inakwenda hata miaka 7,material frem inakuwa nzuri sana mfano body za Aseries 2016.

Lazima mauzo yahame.
Watu wanatamani kwenye OS zaidi ya hizi mbili zilizopo.

Yani Samsung na Tecno hawana utofauti kwenye OS.
 
Nyie msikariri mmeshaambiwa AI inakuja kwa kasi lazima kampuni zikae kimasta.

Kuna kuyumba kwa faida lakini sio hasara ya jumla,miaka 2-3 ijayo google itakuwa imeshuka umaarufu kabisa,sababu ya AI inaonyesha kwenda hatua 3 mbele zaidi unapouliza jambo tofauti na google inachokuletea.
Google is still the best ever. Anakupa result ya content inapopatikana na unajua source ya hizo taarifa ni wapi. Kwa upande wa hii chatgpt unaletewa tu majibu na haujui hata chanzo cha hizo taarifa ni nini
 
Bado ChatGPT ndio best
ChatGPT inaelewa kabisa swali lako na inatoa jibu moja kwa moja kulingana na swali ulilouliza. Hiyo Google haiwezi kuelewa, itakuletea tu results ambazo zinafanana na maneno uliyoingiza kwenye search bar
 
Kwa mfano nataka kujua taarifa za ugonjwa fulani kutoka cdc; ni rahisi kupata taarifa kutoka google kuliko chatgpt
 
Back
Top Bottom