Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

Google imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. 🤣🤣🤣 Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.
nilichoelewa ni kwamba default search engine ndiyo Bing, ile search bar inayokua mbele ya simu
ila ukiingia kwenye browser google.com ipo kama kawaida
 
Kwa mfano nataka kujua taarifa za ugonjwa fulani kutoka cdc; ni rahisi kupata taarifa kutoka google kuliko chatgpt
"Naomba unitajie taarifa kuhusu ugonjwa wa Corona kutoka source ya CDC"

Umeliona hilo swali hapo juu[emoji115][emoji115] Nimejaribu kuuliza ChatGPT sasahivi hili ndio jibu lake.[emoji116][emoji116]

Habari, kama unavyojua, CDC (Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa) ni shirika la serikali la Marekani linalohusika na afya ya umma. CDC imeshiriki katika kutoa taarifa na kushughulikia ugonjwa wa coronavirus (COVID-19) tangu kuanza kwa janga hilo.

Hapa kuna baadhi ya taarifa muhimu kuhusu COVID-19 kutoka CDC:

1. COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na virusi vya SARS-CoV-2.

2. Dalili za COVID-19 ni pamoja na homa, kikohozi, na shida ya kupumua, na kwa bahati mbaya, watu wengine hawana dalili zozote.
3. COVID-19 inasambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia matone ya maji yanayotolewa wakati wa kupiga chafya au kukohoa, na pia inaweza kusambazwa kupitia kugusa uso, pua, au macho baada ya kugusa kitu ambacho kimeambukizwa.

4. Kuzuia maambukizi ya COVID-19 kunajumuisha kuvaa maski, kuweka umbali wa kijamii, kunawa mikono mara kwa mara, na kufanya usafi wa kawaida wa nyumba na mahali pa kazi.

5. Watu ambao wana dalili za COVID-19 wanashauriwa kujitenga, kushauriana na daktari wao, na kufuata maagizo ya afya ya umma.

Taarifa hizi ni baadhi tu ya mambo mengi ambayo CDC imechapisha kuhusu COVID-19. Kwa taarifa zaidi na za hivi karibuni, unaweza kutembelea tovuti yao rasmi kwa kiunga hiki: Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
 
nilichoelewa ni kwamba default search engine ndiyo Bing, ile search bar inayokua mbele ya simu
ila ukiingia kwenye browser google.com ipo kama kawaida
Utaweza kuchange default browser kutoka Bing na unaweka Chrome

Kama tu ilivyo sasa, kwenye simu za Samsung unaweza kudownload Bing na uka-change default browser kutoka Google kwenda Bing
 
"Naomba unitajie taarifa kuhusu ugonjwa wa Corona kutoka source ya CDC"

Umeliona hilo swali hapo juu[emoji115][emoji115] Nimejaribu kuuliza ChatGPT sasahivi hili ndio jibu lake.[emoji116][emoji116]

Habari, kama unavyojua, CDC (Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa) ni shirika la serikali la Marekani linalohusika na afya ya umma. CDC imeshiriki katika kutoa taarifa na kushughulikia ugonjwa wa coronavirus (COVID-19) tangu kuanza kwa janga hilo.

Hapa kuna baadhi ya taarifa muhimu kuhusu COVID-19 kutoka CDC:

1. COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na virusi vya SARS-CoV-2.

2. Dalili za COVID-19 ni pamoja na homa, kikohozi, na shida ya kupumua, na kwa bahati mbaya, watu wengine hawana dalili zozote.
3. COVID-19 inasambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia matone ya maji yanayotolewa wakati wa kupiga chafya au kukohoa, na pia inaweza kusambazwa kupitia kugusa uso, pua, au macho baada ya kugusa kitu ambacho kimeambukizwa.

4. Kuzuia maambukizi ya COVID-19 kunajumuisha kuvaa maski, kuweka umbali wa kijamii, kunawa mikono mara kwa mara, na kufanya usafi wa kawaida wa nyumba na mahali pa kazi.

5. Watu ambao wana dalili za COVID-19 wanashauriwa kujitenga, kushauriana na daktari wao, na kufuata maagizo ya afya ya umma.

Taarifa hizi ni baadhi tu ya mambo mengi ambayo CDC imechapisha kuhusu COVID-19. Kwa taarifa zaidi na za hivi karibuni, unaweza kutembelea tovuti yao rasmi kwa kiunga hiki: Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
Miaka ijayo hiyo chart gpt AI itakuwa balaa, inatoa maelezo mpaka raha
 
ChatGPT imenifanya niione Google ya kishamba ingawa zote naendelea kuzitumia

Kuna kitu Samsung amekiona kwa AI Chat miaka ijayo Ila wengine bado hawajakiona
ChatGPT kua mbadala wa google bado sana, bado naiona google ikiendelea kutumika miaka ijayo
 
Nafikiri ile hasara kubwa waliyoipata Samsung ya karibu $3 bln katika mauzo ya semiconductor ndani ya robo ya kwanza ya mwaka huu 2023 (Jan-March) imewachanganya sana wanaanza kufanya maamuzi ambayo huenda yakawa-cost
Samsung ni kama Nchi ni kubwa na entity zake ni separate hazifanyi kazi pamoja, Division ya Semiconductor na ya simu ni tofauti kabisa, Maamuzi ya mmoja hayamuathiri mwengine.

Na katika watengeneza Nand Samsung ndo kafanya vizuri kupata hasara hio, Kina Sky Hynx na Macron Hali tete.
 
Nyie msikariri mmeshaambiwa AI inakuja kwa kasi lazima kampuni zikae kimasta.

Kuna kuyumba kwa faida lakini sio hasara ya jumla,miaka 2-3 ijayo google itakuwa imeshuka umaarufu kabisa,sababu ya AI inaonyesha kwenda hatua 3 mbele zaidi unapouliza jambo tofauti na google inachokuletea.
Miaka yote hii Siri ilikuwa inatumia Bing, na mtu wa iphone humuambii kitu na siri. Juzi juzi tu Siri ili switch google kwenye web result ila bado image search ni za Bing.

Dunia inabadilika na kwa investment Microsoft aliofanya kwa Nvidia na Chatgpt si issue ndogo wakiikosa hii Ai watakula hasara kubwa lazima waforce iwe kila sehemu.
 
Samsung ni kama Nchi ni kubwa na entity zake ni separate hazifanyi kazi pamoja, Division ya Semiconductor na ya simu ni tofauti kabisa, Maamuzi ya mmoja hayamuathiri mwengine.

Na katika watengeneza Nand Samsung ndo kafanya vizuri kupata hasara hio, Kina Sky Hynx na Macron Hali tete.
Ni kweli Samsung ni group of companies ila hizo semiconductors na vifaa vingine kama simu viko latika division moja ya IT and mobile communications & device solutions
 
ChatGPT kua mbadala wa google bado sana, bado naiona google ikiendelea kutumika miaka ijayo
Google haitaacha kutumika
Zote ni muhimu kwa sababu zinafanya kazi kwa nanna tofauti kwa hiyo kuna muda utatumia ChatGPT na utatumia Google pale itakapohotajika
 
Ni kweli Samsung ni group of companies ila hizo semiconductors na vifaa vingine kama simu viko latika division moja ya IT and mobile communications & device solutions
Hapana aisee Semiconductor ni division inayojitegemea na inaingiza mpunga sawa na simu pia faida yake ni kubwa sana.

CharacteristicConsumer electronics - visual displayConsumer electronics - otherITMobile communicationsSemiconductorDisplay panelHarmanDigital media & appliances - other**Telecom - other***Other
Q4 '217.85.091.0523.321.87.622.39---
Q3 '216.575.240.922.922.27.452.01---
Q2 '216.075.281.0518.1519.265.822.05---
Q1 '216.124.890.8623.8916.15.862.01---
Q4 '207.844.70.8119.7716.759.172.69---
Q3 '207.075.020.5825.5916.146.282.25---
Q2 '204.464.080.816.6315.315.641.29---
Q1 '204.753.910.8820.9614.825.541.76---
Q4 '196.84.020.7620.214.16.762.29---
Q3 '195.23.881.2523.3514.627.72.19---
Q2 '195.194.391.3820.9913.926.592.18---
Q1 '195.133.741.1322.7812.725.381.92---
Q4 '186.633.690.9919.516.488.062.24---
Showing entries 1 to 13 (44 entries in total)
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumwangusha mwenzake, hawategemeani kwa kiasi kikubwa na hawashindani kibiashara.
They complement each other kama muuza mikate na muuza supu au chai
 
Mnacho sahau ni kuwa hao Google ni watunzaji tu. Watu wakiamua kuihama inajifia ndani ya mwezi kazi ni kuwwashawishi watu. Google watabaki wanamiliki server tu.
Ni kama JF watu wakiamua wahame wafute ba taatifa zao jf itabaki na zero data.
Google ni wa miliki wa teknolojia mna si taarifa zitunzwazo.
 
Back
Top Bottom