Samsung yazidi kuwa Iphone

Sio kubishana. Kumbuka umesema huna experience. Na watumiaji tumekwambia mbona hatuna hilo tatizo la vitu kuharibika sana

mie sijawahi haribikiwa kabisa. Ndio maana nimekukatalia.
Sio kila mtu ataexperience matatizo. Kwa kuwa wewe haijawahi kukusumbua basi wale ambao imewasumbua usiwaite Wabongo kwa sababu mnatumia products zenye quality tofauti au inaweza kuwa same quality ila utunzaji tofauti

Ni kama tu software updates. Kuna wengine waki-update wanapata issues kuna wengine waki-update hawapati issues
 
HAya jamani mkimalizana na mambo ya chaja karibuni
INSTAGRAM @dollrubii_decors
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.

KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
 

Kwa Nambari hiyo hiyo niulize kuhusu mahitaji yako ya Bidhaa zote za samsung
Simu OG
BUDS
CHARGERS
TABLETS
 
Mkuu ni kweli kuwa swala la kuuza charger separated ni kibiashara zaidi hilo nami nakubaliana na wewe

Ila hata hivyo charger zipo at affordable price hata uki switch kutoka kwenye apple kuja Samsung bado hutasumbuka.
 
Hama tu acha sie wazalendo iphone naipenda shida budget tu na matoleo machache tu nayakubaki haya pro
13 pro na 14 pro huniambii kitu na mwaka huu mwishoni Mungu atie wepes lazma niwe nayo

Yale madubwana ya 7 sijui 8 ziletakataka
 
Mkuu Samsung tangu waweke mfumo wa type C 2017 charger zake zote zinauwezo wa kuchaji simu yeyote ambayo ni latest.

 
Mimi ni Sony fan hadi watapofunga kiwanda 😀!
Sahizi niko na XZ1 nainjoy unyama tu juzi nimesahau bomba maji yamejaa hadi chumbani cha ajabu simu iko kwenye maji ila haijaharibika. Kumbe kitu ni waterproof bana 😀 😀 😀
Kwamba uliacha bomba wazi maji yakajaa hadi chumbani na simu uliacha ndani pia.😄😄
 
Mkuu Samsung tangu waweke mfumo wa type C 2017 charger zake zote zinauwezo wa kuchaji simu yeyote ambayo ni latest.

View attachment 2599180

Enzi sa s3,s4,s5 ndio wanajua waliweka nini kwenye port zak,charger fake haicharge hata uipake sukari.

Simu itashtuka tu kwamba umechomeka charger baada ya hapo utaambiwa tafuta charger iriginal.
 
Enzi sa s3,s4,s5 ndio wanajua waliweka nini kwenye port zak,charger fake haicharge hata uipake sukari.

Simu itashtuka tu kwamba umechomeka charger baada ya hapo utaambiwa tafuta charger iriginal.
Hapo utakuwa ulikuwa unachajia zile LED charger

Hizo ni charger ambazo hata kwenye tecno zilikuwa ni mtihani

Na sometimes USB zake hata data hazipitishi.

Lakini kwenye kesi ya type C ni very rarely
 
Itabidi nianze kujifunza kuweka simu nzima sikioni kusikiliza kama mkuu Reuben Challe
 
Mkuu kwenye issue ya PRODUCT DEVELOPMENT huwa kuna series of steps to adhere...hawakurupuki tu..lazima watu wa Sales and Marketing wawe strategic kweli kweli..hawa watu wakifeli kampuni zinashindwa kufika Sales target Volumes matokeo yake zinafifia kama kina MOTOROLA,NOKIA,BLACKBERRY,LG n.k

Unapofanya biashara yoyote lazima watu wa Sales and Marketing wafanye Close monitoring ya competitors..lazima uwe na MARKETING RESEARCH,SALES AND MARKETING INTELLIGENCE..so,Iphone ni World Class product inapendwa na watu wengi maarufu..so,Samsung anamonitor kwa ukaribu sana shughuli zote za Iphone kuanzia kwenye PRODUCT DEVELOPMENT,SALES AND MARKETING STRATEGIES..not to forget PRICING STRATEGIES.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…