Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Sio kila mtu ataexperience matatizo. Kwa kuwa wewe haijawahi kukusumbua basi wale ambao imewasumbua usiwaite Wabongo kwa sababu mnatumia products zenye quality tofauti au inaweza kuwa same quality ila utunzaji tofautiSio kubishana. Kumbuka umesema huna experience. Na watumiaji tumekwambia mbona hatuna hilo tatizo la vitu kuharibika sana
mie sijawahi haribikiwa kabisa. Ndio maana nimekukatalia.
Ni kama tu software updates. Kuna wengine waki-update wanapata issues kuna wengine waki-update hawapati issues