Samsung yazidi kuwa Iphone

Nijamikiki A22 Samsang

Sijaweka screen protector nimeiangusha mara mbili tena inaangukia kioo nahakuna crack.


Mtaalam hii ndivyo ilivyo kwa simu mpya? Au bahati tu?
 
Pole sana mkuu.
Karibu Google pixel.
 
Charger original ya simu ni muhimu za mtaani mbaya
 
Ni wajinga pekee wanaoamini et wanalinda mazingira ..hivi chaja Nani kawahi kutana nazo barabaran?


Au zikijaa ndani kwangu zinachafuaje mazingira

Lengo lako Ni kupiga pesa na hawasemi wanasema mazingira


Mtaji wa pekee wa bure Ni kundi la wajinga

Leo hii tulalamike kwenye page za apple kuwa hatutanunua simu Kama hazitakuja na accessories za muhimu tunanunua simu labda xiaomi flani na kweli mauzo yashuke uone Kama hawataweka
 
ndio maana Brazil walisema bila charge hawanunui kwanza walipigwa faini[emoji16][emoji16]
 
SHida sio SAMSUNG nadhani huna tu uelewa kuhusu faida ya mabadiliko yanayoendelea......na mbona swala la chaja haipo tangu S21 wewe umekuja kulalamika leo s23??? 3years mzeee
Wengine tuko na S8 plain
 
Nijamikiki A22 Samsang

Sijaweka screen protector nimeiangusha mara mbili tena inaangukia kioo nahakuna crack.


Mtaalam hii ndivyo ilivyo kwa simu mpya? Au bahati tu?
Mi natumia S8 nilibandua hayo matakataka ila hii amoled imekaa bila tatizo
 
Mkuu ni kweli kuwa swala la kuuza charger separated ni kibiashara zaidi hilo nami nakubaliana na wewe

Ila hata hivyo charger zipo at affordable price hata uki switch kutoka kwenye apple kuja Samsung bado hutasumbuka.

Kama tunakubaliana sababu ni za kibiashara basi sawa

Kuhusu affordable price hapo pana ukakasi kidogo
Kwenye website ya Samsung charger price ni usd 50 hapa unazungumzia zaidi ya Tsh 100k
Halafu bongo unakuta eti zinauzwa 50k...... nyingi ni FAKE
Na kwa S23 utra hizo charger baada ya muda tu simu inaanza kugoma kuchaji na unaanza kuhangaika kutafuta chaji nyingine tena
Simu na charger vina uiano wa vipimo vyake na ndio maana tuna sisitizwa kujua aina ya simu na aina ya charger kupunguza kuua betrii na simu kwa ujumla

Haya yote yangemalizwa na simu kuja na charger yake original
 
Samsung wenyewe walisema wanapunguza bei ya charger ili watu waweze ku afford, ambapo ni $14 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…