Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Mh. Samuel Sitta ambae anachuana na wana-CCM wenzake kupata tiketi ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi kagundua kitu ambacho kitamleta karibu zaidi na vijana masister du na mabraza men ambao wamejazana instagram na wengi ni teenagers ambao hawako interested na mambo ya siasa wala upigaji kura.
Dj Fetty kaipa promo account ya insta kwa muda mfupi sana ana followers zaidi ya1000. Kura nyingi sana hizi kwa muda mchache.
Viongozi wa CHADEMA igeni mfano huu. Kueni karibu na wasanii, vijana wadogo na hata media presenters wa wape promo.