Samuel Sitta avamia instagram kuwafikia vijana

Samuel Sitta avamia instagram kuwafikia vijana

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
Mh. Samuel Sitta ambae anachuana na wana-CCM wenzake kupata tiketi ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi kagundua kitu ambacho kitamleta karibu zaidi na vijana masister du na mabraza men ambao wamejazana instagram na wengi ni teenagers ambao hawako interested na mambo ya siasa wala upigaji kura.

Dj Fetty kaipa promo account ya insta kwa muda mfupi sana ana followers zaidi ya1000. Kura nyingi sana hizi kwa muda mchache.

Viongozi wa CHADEMA igeni mfano huu. Kueni karibu na wasanii, vijana wadogo na hata media presenters wa wape promo.
 
Six amejishushia heshima kwa kupuuza Rasimu ya wananchi,, ajichukulie posho za BMK na asidhubutu kugombea kwani ameshawapuuza anaotegemea kumchagua.
 
Mr Six hata afanyeje hachomoki kwa sababu amejinyonga kwa akanaba ngumu aliyoichagua mwenyewe.
 
Hao vijana wa Instagram wengi wao si wapiga kura bro. Ukiwategemea hao kama mtaji, umeumia.
 
huyo 6 ndo kwisha habari yake .huko aliko ingia ndo sehemu ambayo itamfanya aonekane mtu wa tofauti kabisa ukizingatia yeye ni mtu mkubwa tanzania na afrika mashariki yote
 
mh. samuel sitta ambae anachuana na wana ccm wenzake kupata tiketi ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi kagundua kitu ambacho kitamleta karibu zaid na vijana masister du na mabraza men ambao wamejazana instagram na wengi ni teenagers ambao hawako interested na mambo ya siasa wala upigaji kura.
dj fetty kaipa promo acount ya insta kwa muda mfupi sana ana followers zaidi ya1000. kura nyingi sana hizi kwa muda mchache.

Viongozi wa chadema igeni mf. huu. kueni karibu na wasanii, vijana wadogo na hata media presenters wa wape promo.

Anatumia ID gani huko Instagram?
 
...ataishia kushika nafasi za kuteuliwa maisha yake yote yaliyobaki,tena endapo ataonewa huruma na rais ajaye kama kilichomkuta mwandosya...
 
Tupatieni id yake tumpe makavu huyu mpuuzi mchumia tumbo!!
 
Hivi uyu Sitta ni kiwete au mie nilimuona live majuzi hapa akitembea nikabaki nashangaa miguu ile sio kawaida.
 
etl mod kamueka sitta kwenye celebrities teh teh teh
mod unapata ushuru nin, au sita anaigizaga
 
Back
Top Bottom