Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Usimsikilize my sister alivyo mtu wa fix anaweza kuuza nchi.Kumbe?!...mmh!..wacha tu basi,inaonekana mie nitakuwa wa 31 sasa,dah!...🙄🙄😱...silent killer kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsikilize my sister alivyo mtu wa fix anaweza kuuza nchi.Kumbe?!...mmh!..wacha tu basi,inaonekana mie nitakuwa wa 31 sasa,dah!...🙄🙄😱...silent killer kweli.
[emoji49][emoji49]Basi sawa amigo, mingoja niende nikatete nae kule pm...[emoji5] [emoji5]
Jirani karibuHongeraa
Leo nimezoom, kuangalia hiyo profile picture yako kwa ukaribu. Inatisha joh!Jokes gani hizo nyang'au ww
Safi sana ndugu ...tunajifunza pia mengi kutoka kwenu maana kupitia jukwaa la kenya tumehabarishana vitu vingi yaani kuna vitu vya kenya nimejifunza na hata baadhi ya vitu vya Tz pia.....Kwa kweli ni mtandao huu wa JAMII FORUMS kaka.
Tangu nilipoigundua JF,nimejiongeza sana kwenye swala la lugha fasaha ya Kiswahili.
Nyinyi wakuu ndiyo mmepelekea nilijue lugha tena niwe na kaujasiri nako,sikuwa na ujasiri wa kuandika kwa Kiswahili hapo awali.
Nakumbuka nikizisoma mada humu nikipita kimyakimya. Nilikua na ashki ya kuzijibu hoja,mawazo yangu yakiwa mazuri tu tena yenye tija kisa tatizo la lugha.
Nikaanza kuwasoma wabongo pamoja na kaka mkuu MK254,polepole nikazifahamu ngeli na mipangilio ya sentensi na kadhalika.
Hata hivyo sijafikia kiwango cha umahiri lakini nawashukuru sana wakuu,bila shaka mui huwa mwema.
Sitawahi isahau JF abadan!
Daby nisaidie kupigia mstari hiyo mke wangu apo juuKule kuzuri sana walah! Napatamani hadi kesho.
Hali ya hewa afu na wakenya watu wazuri sana walikuwa wananipenda sana mimi mbongo.
Na nikienda town wenyewe wanasema taoo,
Fully burudani, nikapendwa na mke wangu akanipa mambo.
Alikuwa ni hatari ananikamata ananikumbatia kwa nguvu utadhani ananidai.
Yule dada nilikuwa namwekea kichwa tu yy ashamaliza.
Nadhani alinipend sanaa adi akawa analia
Dada alikuwa mtamu sana yule ..
Kokote ulipo felister dada wa kikenya.
Hongeraa
Jirani nakuona nakuona unazurura kila kona ya hichi kijijiJirani karibu
Jirani umeona wivu?Daby nisaidie kupigia mstari hiyo mke wangu apo juu
Wacha tumsaidie kufikisha 1k mkuu kilamBado kurasa tatu ndoto zako kutimia, ongeza bidii.
Jirani sisi na wakenya tuna vinasaba vinavyo endana.Jirani nakuona nakuona unazurura kila kona ya hichi kijiji
Yan kila post lazima ana wa kumtolea mfano sa sijui ana wake wangapi huyu mdogo akoJirani umeona wivu?
Sometimes JF watu huongea kufurahisha nafsi zao jirani mengine chukulia ni sehemu ya Utani.Yan kila post lazima ana wa kumtolea mfano sa sijui ana wake wangapi huyu mdogo ako
Khaaa we leo ni wa kumtetea?Sometimes JF watu huongea kufurahisha nafsi zao jirani mengine chukulia ni sehemu ya Utani.
Usimsikilize my sister alivyo mtu wa fix anaweza kuuza nchi.
Ha ha ha. Inna nilimaanisha mke wa mtu alinipenda. Afu umefikaje huku wewe.Sometimes JF watu huongea kufurahisha nafsi zao jirani mengine chukulia ni sehemu ya Utani.
Inna ujue unachokifanya sio fair hata kidogo?Khaaa we leo ni wa kumtetea?
Daby nisaidie kupigia mstari hiyo mke wangu apo juu
Haha sijamtetea mdogo wangu anapenda fiction sana.Khaaa we leo ni wa kumtetea?