samuel999 yupo wapi?

samuel999 yupo wapi?

Jokes gani hizo nyang'au ww
Leo nimezoom, kuangalia hiyo profile picture yako kwa ukaribu. Inatisha joh!

67803.jpg
 
Kwa kweli ni mtandao huu wa JAMII FORUMS kaka.
Tangu nilipoigundua JF,nimejiongeza sana kwenye swala la lugha fasaha ya Kiswahili.
Nyinyi wakuu ndiyo mmepelekea nilijue lugha tena niwe na kaujasiri nako,sikuwa na ujasiri wa kuandika kwa Kiswahili hapo awali.
Nakumbuka nikizisoma mada humu nikipita kimyakimya. Nilikua na ashki ya kuzijibu hoja,mawazo yangu yakiwa mazuri tu tena yenye tija kisa tatizo la lugha.
Nikaanza kuwasoma wabongo pamoja na kaka mkuu MK254,polepole nikazifahamu ngeli na mipangilio ya sentensi na kadhalika.
Hata hivyo sijafikia kiwango cha umahiri lakini nawashukuru sana wakuu,bila shaka mui huwa mwema.
Sitawahi isahau JF abadan!
Safi sana ndugu ...tunajifunza pia mengi kutoka kwenu maana kupitia jukwaa la kenya tumehabarishana vitu vingi yaani kuna vitu vya kenya nimejifunza na hata baadhi ya vitu vya Tz pia.....
hongera kwa kujifunza na ninatumai utakuwa vyema zaidi katika siku za usoni
 
Kule kuzuri sana walah! Napatamani hadi kesho.
Hali ya hewa afu na wakenya watu wazuri sana walikuwa wananipenda sana mimi mbongo.
Na nikienda town wenyewe wanasema taoo,
Fully burudani, nikapendwa na mke wangu akanipa mambo.

Alikuwa ni hatari ananikamata ananikumbatia kwa nguvu utadhani ananidai.
Yule dada nilikuwa namwekea kichwa tu yy ashamaliza.
Nadhani alinipend sanaa adi akawa analia
Dada alikuwa mtamu sana yule ..
Kokote ulipo felister dada wa kikenya.
Daby nisaidie kupigia mstari hiyo mke wangu apo juu
 
Back
Top Bottom