Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
😳😳😳😳😳😳😳kweli mwenye nacho huongezewa.Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 3379200
Dodoma tunatikiNdugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 3379200
Hili la "mafisi" nadhani umekosea; hao ni "makenge".Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .
Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Ni jina lake pia, aliyeleta uzi ndio alitakiwa aweke wazi kuwa ni mjukuu sio kubadili kichwa cha habari.Nimekuja haraka haraka nikidhani imekuwaje Mzee wetu mstaafu aamue kufanya jambo la namna hii? Kumbe ni mjukuu wake. Mods badilisheni kichwa cha habari kisomrke Mjukuu wa Samwrl John Malecela atia nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini.
Ni mjukuu wa JohnNimekuja haraka haraka nikidhani imekuwaje Mzee wetu mstaafu aamue kufanya jambo la namna hii? Kumbe ni mjukuu wake. Mods badilisheni kichwa cha habari kisomrke Mjukuu wa Samwrl John Malecela atia nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini.
Mzee ni John Samwel Malecela, huyu ni Samwel John Malecela.Nimekuja haraka haraka nikidhani imekuwaje Mzee wetu mstaafu aamue kufanya jambo la namna hii? Kumbe ni mjukuu wake. Mods badilisheni kichwa cha habari kisomrke Mjukuu wa Samwrl John Malecela atia nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini.
Kwani wewe umezuiwa kutia nia?mnapenda kujilalamisha ujingaYanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .
Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Kama hawajitokezi??Nabado nyumbu watampa tena!! Kwani hakuna familia za watu wengine?