PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Malecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.

Kweli CCM ina wenyewe.
Wengine makenge tuu.
 
Chawa mbobevu Lucas Mwashambwa anaishia kuwasifia tu wenye CCM yao huku yeye akiambulia kutupiwa makombo kama mbwakoko.
Huu ujinga utaisha lini kila kukicha kulalamika badala ya kutenda acha kuzuia familia zenye vision kuzima ndoto zao.Kama wewe genius wa ukoo uko hivyo hao wengine si ni shida.
 
Huu ujinga utaisha lini kila kukicha kulalamika badala ya kutenda acha kuzuia familia zenye vision kuzima ndoto zao.Kama wewe genius wa ukoo uko hivyo hao wengine si ni shida.
Wewe mpumbavu kweli umeona nimelalamikia nini hapa?
 
Malecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.

Kweli CCM ina wenyewe.
Wengine makenge tuu.
Malecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.
Ridhiwan Kikwete.
Salma Kikwete.
Gofrey Pinda.
January Makamba.
Magreth Sitta.
(Somebody) Lowasa.
Vita Kawawa.
Nape Nnauye.

Ongezea na wewe.


Ama kweli ccm Ina wenyewe.
 
Malecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.
Ridhiwan Kikwete.
Salma Kikwete.
Gofrey Pinda.
January Makamba.
Magreth Sitta.
(Somebody) Lowasa.
Vita Kawawa.
Nape Nnauye.

Ongezea na wewe.


Ama kweli ccm Ina wenyewe.
RIP ippy malecela

Ova
 
Babu yake alipigwa na Kibajaji huko Mtera.
Kipindi hicho mzee huyo mbunge huko nlibahatika kuonana naye kwake mvumi
Tulipelekaga mchongo wa solar
Kipindi hicho miundo mbinu ilikuwa ovyo ile barabara ya mtera-iringa road ilikuwa vumbi tupu
Yote ile mpunguzi mkurabi mlowa kulikuwa ovyo sana

Ova
 
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Weka lake mkuu pengine historia yaweza kubadilishwa
 
Back
Top Bottom