PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kipindi hicho mzee huyo mbunge huko nlibahatika kuonana naye kwake mvumi
Tulipelekaga mchongo wa solar
Kipindi hicho miundo mbinu ilikuwa ovyo ile barabara ya mtera-iringa road ilikuwa vumbi tupu
Yote ile mpunguzi mkurabi mlowa kulikuwa ovyo sana

Ova
Yaani huyu "Jumanne" ni mtu wa ajabu kweli.
Pamoja na kuwa waziri mkuu, hakufanya chochote hata jimboni kwake.
 
Hyu angeenda mtera tu
Huko kwa mavunde sijui

Ova
Jimbo la Dodoma Mjini limegawanywa kutoa majimbo 2 .
Jimbo la Mtumba na Jimbo la Dodoma Mjini.
Huyu mavunde nilisikia ikisemwa yeye atagombea jimbo la mtumba
 
Yaani huyu "Jumanne" ni mtu wa ajabu kweli.
Pamoja na kuwa waziri mkuu, hakufanya chochote hata jimboni kwake.
Kulikuwa ovyo sana alafu sijui kwanini aliiondoaga wine refinery
Kutoka huko na kuipeleka mbeya

Ova
 
Back
Top Bottom