PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

PreGE2025 Samwel John Malecela atia nia ya kugombea ubunge jimbo la Dodoma mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Majina yale yale!
Kikwete
Makamba
Mongella
Malecela
Lusinde
Mwinyi
Warioba - (KIPI) kashindwa mwenyewe!
Gama
Karume
Kombo
.......
 
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Yataachaje kusikika majina yale yale kama wengine mnakaa pembeni.Pambana nawewe kuweka jina lako ili kesho wanao waliendeleze.Ukikaa pembeni hakuna atakayekuja kukwambia fanya.Hao wapo leo kwakua baba na babu zao walipambana kuweka hayo majina hapo.
 
Huyu si ndio anagombania mali za marehemu dr Mwele ntuli huyu hafai anauroho wa mali hata za marehemu
 
Kama hawajitokezi??
Kwani yeye sio mtanzania au hana sifa za kugombea??
TAtzo Sio kujitokeza TAtzo ni kuwa hutoweza kushindana nae Kwenye kulaghai wajumbe kupitia family name, WW kajamba nani hata uwe na uwezo VP hupat kitu
 
Alitumikia babu mpaka wa wajukuu, hii ndio kauli mbiu ya uongozi wa CCM.
 
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Tia nia jina lako nalo lisomeke
 
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Vijana mnapenda kulalamika kwenye kila jambo. Wewe nani kakukataza kuchukua fomu ?
 
Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .

Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Hapo ni majina yanabadilika mpangilio tu, la kwanza linenda mbele na la mbele linaanza mwanzo. "John Samwel Malecela" Kisha inaanza " Samwel John Malecela" ama kweli wenyewe ni sisi...
 
Back
Top Bottom