salamu zimfikie kenge Lucas mwashambaNdugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 3379200
Malecela.Yanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .
Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
"Tonito" Mavunde.Mbunge wa sahvi hapo anaitwa nani???
Ova
Angegombe ubunge huko Mtera ampumzishe Kibajaji.Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 3379200
Huu ujinga utaisha lini kila kukicha kulalamika badala ya kutenda acha kuzuia familia zenye vision kuzima ndoto zao.Kama wewe genius wa ukoo uko hivyo hao wengine si ni shida.Chawa mbobevu Lucas Mwashambwa anaishia kuwasifia tu wenye CCM yao huku yeye akiambulia kutupiwa makombo kama mbwakoko.
Wewe mpumbavu kweli umeona nimelalamikia nini hapa?Huu ujinga utaisha lini kila kukicha kulalamika badala ya kutenda acha kuzuia familia zenye vision kuzima ndoto zao.Kama wewe genius wa ukoo uko hivyo hao wengine si ni shida.
Anaongea kama Mzee wake.Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 3379200
Malecela.Malecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.
Kweli CCM ina wenyewe.
Wengine makenge tuu.
JitokezeniYanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .
Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.
Hata ndani ya ccm kwa mfano umetia Nia Jimbo moja na Abdul, unadhani utatazamwa?Jitokezeni
RIP ippy malecelaMalecela.
Lusinde.
Mavunde.
Ndejembi.
Ridhiwan Kikwete.
Salma Kikwete.
Gofrey Pinda.
January Makamba.
Magreth Sitta.
(Somebody) Lowasa.
Vita Kawawa.
Nape Nnauye.
Ongezea na wewe.
Ama kweli ccm Ina wenyewe.
Hyu angeenda mtera tu"Tonito" Mavunde.
Hata kwenye vyama kunahitajika Tume Huru za vyamaHata ndani ya ccm kwa mfano umetia Nia Jimbo moja na Abdul, unadhani utatazamwa?
Babu yake alipigwa na Kibajaji huko Mtera.Hyu angeenda mtera tu
Huko kwa mavunde sijui
Ova
Bora nimekutana na hii comment jamaa ni mtu sana anyway Kila la kheri kwakeNi mtu mwema sana, hana majivuno
Kipindi hicho mzee huyo mbunge huko nlibahatika kuonana naye kwake mvumiBabu yake alipigwa na Kibajaji huko Mtera.
Ili kuondoka ubabe kwenye vyama ni kuruhusu mgombea huru. HilI likifanyika ubabe wote utaisha.Hata kwenye vyama kunahitajika Tume Huru za vyama
Weka lake mkuu pengine historia yaweza kubadilishwaYanasikika majina yale yale ya watu wale wale, koo zile zile za watu wale wale ktk kila zama na kila uchaguzi .
Ama kweli nchi Ina wenyewe, wengine mafisi tu.