Mkuuu unaweza share photos za hayo ma pyramid ya Sudan aiseePromo na pia sio makubwa kama yale machache ya Misri.
Nipo mbali na hiyo mnayoiita Quran I will be back"Kama wewe ni upepo hapa umekumbana na kimbunga"
Hayo si maneno yangu.....!
Soma kaka,tena usome hasa.
Ingia google kuna kila kitu. Historia ya Afrika ina mengi sana ila sisi wenyewe hatujaichimba vya kutosha.Mkuuu unaweza share photos za hayo ma pyramid ya Sudan aisee
HahahahNikajua yule mjinga Kemit the frog
Sema haya n madogoIngia google kuna kila kitu. Historia ya Afrika ina mengi sana ila sisi wenyewe hatujaichimba vya kutosha.View attachment 979193
Kuna baadhi ya Miili Ya Pharaoh illiwahi kufukuliwa ..nafuvu yao yanaonesha wan Caucasians features ..hawafanani na sisi kabisa ukitaka jaribu ku google..kitu kinachoonesha hatuhusiani nao kabisaNi kweli in a way ingawa miaka ya nyuma sana walikuwepo hata jews
Watumwa walikuwepo lakini pia kulikuwa na black pharaohs ambao wali rule kwa miaka mingi sana kama Kings.
Ok asante, ntachimbaKu
Kuna baadhi ya Miili Ya Pharaoh illiwahi kufukuliwa ..nafuvu yao yanaonesha wan Caucasians features ..hawafanani na sisi kabisa ukitaka jaribu ku google..kitu kinachoonesha hatuhusiani nao kabisa
Ntaleta picha ..hapa hu prove ..black tunakosea sana tunapojihusuha na story ya Egypt hao ni Warabu hatuhusian nao kabisaOk asante, ntachimba
Sent from my SM using Tapatalk
Nakubaliana nawe mkuuHaya masanamu mengi yamevunjwa pua,
Inasemekana walikuwa ni blacks ila mahasidi wakaamua kuvunja pua zote.
Rejea sanamu zote
Nipo mbali na hiyo mnayoiita Quran I will be back
Hebu soma kuhusu Kingdom of Kush hao walikuwa ni watu weusi, na walitawala Egypt miaka mingi.Nt
Ntaleta picha ..hapa hu prove ..black tunakosea sana tunapojihusuha na story ya Egypt hao ni Warabu hatuhusian nao kabisa
Hivi sanamu zote zinavunjika pua tu au ni makusudi? HahahaNakubaliana nawe mkuu
Kuna pyramids 255 SudanSudan kuna Pyramids...? Sijawah sikia hiii
Jiwe sio kiongozi tafadhaliKwa akili hizi za kuamini mwafrika alikuwa mstaarabu wakati tunaona viongozi wetu walivyo mbumbumbu linapokuja suala la ustaarabu tunazidi kutia aibu
Haya ngoja nikuletee hiyo elimu ya jamaa asiyejua kusoma na kuandika aliyeruhusu muwaoe dada zenu, hiyo Ni elimu au upumbavu, very foolishWewe jipange,na uwaite wakubwa zako katika hilo wakusaidie ila hamtaweza sababu hamna elimu ya Qur'an na lugha yake.
Nipo hapa nasubiri ukiwa karibu na Qur'an unistue.
Haya ngoja nikuletee hiyo elimu ya jamaa asiyejua kusoma na kuandika aliyeruhusu muwaoe dada zenu, hiyo Ni elimu au upumbavu, very foolish
Sent using Jamii Forums mobile app