Sanamu la KEMET huko Misri

Sanamu la KEMET huko Misri

Watu weusi mna matatizo sana. wengi hamjielewi nyinyi ni akina nani na mpo hapa Duniani kwasababu zipi na zipi. Hamuelewi uwepo wenu. Ndio maana kila wakati mnakuwa wanyuma nyuma tu kuliko watu wa jamii nyingine isiyo ya weusi.
 
Mkuuu unaweza share photos za hayo ma pyramid ya Sudan aisee
Ingia google kuna kila kitu. Historia ya Afrika ina mengi sana ila sisi wenyewe hatujaichimba vya kutosha.
Screenshot_20181227-231402_Opera~2.jpg
 
Kwa akili hizi za kuamini mwafrika alikuwa mstaarabu wakati tunaona viongozi wetu walivyo mbumbumbu linapokuja suala la ustaarabu tunazidi kutia aibu
 
Ku
Ni kweli in a way ingawa miaka ya nyuma sana walikuwepo hata jews
Watumwa walikuwepo lakini pia kulikuwa na black pharaohs ambao wali rule kwa miaka mingi sana kama Kings.
Kuna baadhi ya Miili Ya Pharaoh illiwahi kufukuliwa ..nafuvu yao yanaonesha wan Caucasians features ..hawafanani na sisi kabisa ukitaka jaribu ku google..kitu kinachoonesha hatuhusiani nao kabisa
 
Ku
Kuna baadhi ya Miili Ya Pharaoh illiwahi kufukuliwa ..nafuvu yao yanaonesha wan Caucasians features ..hawafanani na sisi kabisa ukitaka jaribu ku google..kitu kinachoonesha hatuhusiani nao kabisa
Ok asante, ntachimba

Sent from my SM using Tapatalk
 
Nt
Ntaleta picha ..hapa hu prove ..black tunakosea sana tunapojihusuha na story ya Egypt hao ni Warabu hatuhusian nao kabisa
Hebu soma kuhusu Kingdom of Kush hao walikuwa ni watu weusi, na walitawala Egypt miaka mingi.
Nimejaribu kuwasoma hao wafalme weusi walikuwepo hata Ethiopia
Na hawa ni baadhi ya pharaohs wa Egypt
Labda historia inadanganya
bd889b520a327df2dd6f34dc3c4afe25.jpg
2a584fcceac339705bef3669a0cb5b3c.jpg


Sent from my SM using Tapatalk
 
Wewe jipange,na uwaite wakubwa zako katika hilo wakusaidie ila hamtaweza sababu hamna elimu ya Qur'an na lugha yake.

Nipo hapa nasubiri ukiwa karibu na Qur'an unistue.
Haya ngoja nikuletee hiyo elimu ya jamaa asiyejua kusoma na kuandika aliyeruhusu muwaoe dada zenu, hiyo Ni elimu au upumbavu, very foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom