Sanamu la KEMET huko Misri

Sanamu la KEMET huko Misri

Kwa kuongezea:
Sanamu hiyo ya sphinx ilijengwa kama ishara ya mungu mlinzi wa mafarao waliozikwa kwenye mapiramidi(kumbuka imejengwa hapo Giza karibu sana na mapiramidi)
Na imetazama sehemu linakochomoza jua sababu wamisri waliamini katika mungu jua.
Tafuta kitabu kikubwa cha world history cha Tennesee utajifunza mengi kuhusu ancient and moderm history.
 
uislam ulikuja baada ya yesu kupaa mbinguni, lakin kabla ya yesu kuzaliwa mana bii na mitume walishawahi tembelea misri.
asa unaweza vipi sema asili ya misri ni weusi au warabu walikuja wakiwa wanaeneza uislam??
 
Mtu yeyote anayetaka kujifunza historia ya Afrika, ni vyema akaanza kujifunza kwanza historia ya Kemet kwani hapo ndipo inapopatikana elimu, urithi, historia, ufahari wa bara letu la Afrika.

Pia tufahamu kwamba Kemet ndio eneo la kwanza ulimwenguni kuanza kustaarabika.

Unaweza ukawa unajiuliza, Kemet ni wapi? Jibu ni kwamba, KEMET ni Misri ya Kale.

Leo hii, asilimia kubwa ya raia wa misri ni waarabu, lakini huko nyuma, Misri ilikuwa ni Ardhi ya mtu mweusi. Hao waarabu walivamia misri miaka ya 639 AD ikiwa ni katika jitihada za kueneza imani ya Kiislamu.

Mojawapo ya Tamaduni za Wamisri wa kale, ilikuwa ni kujenga mapiramidi. Ingawa yapo mapiramidi mengi sana huko Misri, lakini yaliyo maarufu ni yale mapiramidi matatu yaliyoko katika mji wa Giza.

Sambamba na hayo mapiramidi Matatu, kuna kitu kinaitwa 'Sphinx'. Ni jengo lililojengwa kwa mfano wa Simba mwenye kichwa cha Binadamu. (Pichani)

Na Inaelezwa kwamba hiko kichwa ni cha Farao Khafre aliyetawala hapo kwenye miaka ya 2558 hadi 2532 BC.

Sphinx ina urefu wa takribani Mita 73 kuanzia kwenye mkia hadi kwenye viganja vya mikono. Pia urefu wa kwenda juu (kimo) ni takribani Mita 20 kuanzia kwenye Ardhi hadi kwenye utosi. Pia na upana wa Mita 19.

UNAWEZA KUONGEZEA KUHUSU SANAMU LA KEMET

.View attachment 978364
Cc: KICHWA KIKUU
 
we msabato huna jipya
 
Foolish,unaipinga Quran, unaabudu usichokijua, Quran inaruhusu kuua watu wasioamini katika uislamu

Nacheka sana. Leta aya mzee. Qur'an iko wazi sana,yaani mtume ameucha Uislamu ukiwa katika hali ambayo usiku wake kama mchana wake.

Tatizo mnapenda sana kusikia kuliko kusomeshwa,na husemwa yule "Asomae vitabu kiupofu hutoka kama alivyo ingia" au kama walivyosema wasemaji.

Halafu elimu haitaki jazba bali ni hoja na utulivu.

Tulia .....
 
Vipi nilete haya,Babu uislamu dini ya wajinga ndo maana wanauawa kila siku ngoja nilete Aya hapa
 
Haya masanamu mengi yamevunjwa pua,
Inasemekana walikuwa ni blacks ila mahasidi wakaamua kuvunja pua zote.
Rejea sanamu zote
Mmh we Nili abnormal kabsa..
naijatwittersavages-20181113-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom