mlwilomlwilo
Member
- Dec 25, 2018
- 65
- 51
Alafu unajiita professor? what a shame.!!Sudan kuna Pyramids...? Sijawah sikia hiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu unajiita professor? what a shame.!!Sudan kuna Pyramids...? Sijawah sikia hiii
Sawa mkuu mwanzo mzuriMtu yeyote anayetaka kujifunza historia ya Afrika, ni vyema akaanza kujifunza kwanza historia ya Kemet kwani hapo ndipo inapopatikana elimu, urithi, historia, ufahari wa bara letu la Afrika.
Pia tufahamu kwamba Kemet ndio eneo la kwanza ulimwenguni kuanza kustaarabika.
Unaweza ukawa unajiuliza, Kemet ni wapi? Jibu ni kwamba, KEMET ni Misri ya Kale.
Leo hii, asilimia kubwa ya raia wa misri ni waarabu, lakini huko nyuma, Misri ilikuwa ni Ardhi ya mtu mweusi. Hao waarabu walivamia misri miaka ya 639 AD ikiwa ni katika jitihada za kueneza imani ya Kiislamu.
Mojawapo ya Tamaduni za Wamisri wa kale, ilikuwa ni kujenga mapiramidi. Ingawa yapo mapiramidi mengi sana huko Misri, lakini yaliyo maarufu ni yale mapiramidi matatu yaliyoko katika mji wa Giza.
Sambamba na hayo mapiramidi Matatu, kuna kitu kinaitwa 'Sphinx'. Ni jengo lililojengwa kwa mfano wa Simba mwenye kichwa cha Binadamu. (Pichani)
Na Inaelezwa kwamba hiko kichwa ni cha Farao Khafre aliyetawala hapo kwenye miaka ya 2558 hadi 2532 BC.
Sphinx ina urefu wa takribani Mita 73 kuanzia kwenye mkia hadi kwenye viganja vya mikono. Pia urefu wa kwenda juu (kimo) ni takribani Mita 20 kuanzia kwenye Ardhi hadi kwenye utosi. Pia na upana wa Mita 19.
UNAWEZA KUONGEZEA KUHUSU SANAMU LA KEMET
.View attachment 978364
Kwa hiyo ukiwa prof ndo kujua kila kitu under earth.... acha upumbavu Dogo .. Kwan prof n Google ...?
Kujengwa na Weusi kama slaves hapo sawaMkuu kwa nini mapiramid yapo Afrika hasa misri Sudan na Uganda na si mashariki ya kati na ulaya kama kweli hayakujengwa na watu weusi waafrika.?
Sent using Jamii Forums mobile
app