Sanamu la mungu Mwezi (Luna) Laokotwa chini ya Bahari

Yalaaah
 
Ni kitu kizuri sana baada ya kufanya usiri kati ya mbingu na dunia maana sisi tulio hai tunabishana huku na huku. Ila ukifa ndio utajua mbivu na mbichi. La msingi ni imani yako itakupeleka mbinguni
 
Kama ni hivi hatuko salama kabisa,,, lkn mwenye haki ataishi kwa imani
 
kwa muono wangu na akili finyu niliyonayo,naweza kuwaita 'wajinga'watu wanaogombana kwa ajili ya dini.hizi imani wote tumeletewa na waarabu na wazungu,sisi kwa asili, tulikuwa na dini na miungu yetu,sasa basi kuelewa au kutokuielewa dini, ni ufahamu binafsi wa mtu,kwanini mmoja ajione yu sahihi kuliko mwingine au mungu wake ni wa kweli kuliko mungu wa wengine wakati wote imani hizi tumeletewa?
 
Ni kitu kizuri sana baada ya kufanya usiri kati ya mbingu na dunia maana sisi tulio hai tunabishana huku na huku. Ila ukifa ndio utajua mbivu na mbichi. La msingi ni imani yako itakupeleka mbinguni
mmh umeongea japo moyoni mwako ni unapoint kitu fulani ila kwa jinsi ulivyoandika ni kama Kichekesho... sababu hiyo imani unayoizungumzia hujaielezea ni imani ipi... na how come ikupeleke mbinguni... na huko Mbinguni ni wapi? na kuna nani huko au aina gani za viumbe wanaoishi huko au wanaostahili kuishi huko... ukikaa ukawazia am sure huwezi pata jibu zaidi ya majibu ya wajanja wajanja duniani walifanikiwa kupotosha nyomi la watu duniani tena hao watu wameweza kugawana idadi ya watu duniani... Uyahudi,Ukristo,Uislam,Ubuddha,Uhindu,Uchawi,Mizimu wapagani waligoma kufuata hayo mambo basi waliwapa majina mabaya mabaya sana... na wao waliomba ushahidi wa uwepo wa Mungu hawakupewa wakaishi maisha huru matamu.... Dini ni Story za warubunifu wa theology Ubunifu wa hali ya juu...
 
Kabla hujauliza iweje ulimwengu utokee tu,tafakari iweje mungu(kama yupo)atokee tu.!

Najua mungu ni Idea tu
Space time and matter nazijua labla wewe ndo huzijui!

Karibu katika ulimwengu huru
.........Free ideas.....

Mkuu... vp kwa upande wako kipi ndio kila kitu ktk huu ulimwengu science au?
 
 
 

Yoh1:11_13,ni kweli Yesu alikuwa myahudi,lakini wayahudi na wakuu wa dini walimkataa,ila wale wote waliomkubali walifanyika kuwa watoto wa Mungu. Pia Kolosai 3:11,Paulo anasema Kristo ni yote katika yote
 
Jamani kama kuna uwezekano tupate vithibiti ili kuja kua ukweli uko wapi.
 
Bora umejitambua mkuu, achana na hawa wanaochinjana hovyo, eti wataishi maisha matamu mbinguni, ni ujinga mtupu. Mbinguni ni mwisho wa upeo wa macho ya mtu kuona basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…