Hakika wewe ni mpumbavu unaleta Ushahidi wa kitabu hicho hicho cha story... ambacho hujui hata aliyekitunga ulevi upo wa aina nyingi... mambo ya story za Mfalme aliyesema Mungu wa Kweli ni Mungu wa Wayahudi aliyetunga ametunga ili kukuaminisha wewe mpumbavu... so usilete refer zako za kitabu hicho hicho... hicho kitabu kimezungumzia story za maisha ya wakati huo so kama wewe kweli unakifuata na kukiaminia basi fuata yote na sio kuchagua chagua tu kama wote mlivyo... mnachukua yale yanayowavutia tu... yale magumu mnayaacha kama hamyajui na mnayaita Agano la kale nini maana yake mnaitwa wapumbavu sababu mmepumbazwa...
Unaposema Kanisa la Kristu si kanisa la Wayahudi pekee na umeandika neno ''utagundua'' ndio upumbavu wenu ulipo mnachotakiwa mfuate mliyoambiwa mfuate sio kugeuza geuza na kuja na neno tumegundua kukwepa uhalisia wa maelekezo... maana kitabu chenyewe kimeaandika ole wao watakao badilisha neno.... ambao ndio nyie haswa...
Uyahudi ni Kabila au ukoo wa Judah ukifuatilia Ujahudi nini Utaambiwa ni Dini ya kale zaidi ambayo bado inasurvive soma wikipedia
The
Jews (
/dʒuːz/;
[11] Hebrew: יְהוּדִים
ISO 259-3 Yehudim, Israeli pronunciation
[jehuˈdim]), also known as the
Jewish people, are an
ethnoreligious group[12] originating from the
Israelites, or
Hebrews, of the
Ancient Near East.
[13][14] Jewish
ethnicity,
nationhood and
religion are strongly interrelated, as
Judaism is the
traditional faith of the Jewish nation,
[15][16][17] while its observance varies from strict observance to complete nonobservance.
Jews
originated as a national and religious group in the Middle East during the second millennium BCE,
[10] in the part of the
Levant known as the
Land of Israel.
[18] The
Merneptah Stele appears to confirm the existence of a people of Israel, associated with the god
El,
[19] somewhere in
Canaan as far back as the 13th century BCE.
[20][21] The Israelites, as an outgrowth of the Canaanite population,
[22] consolidated their hold with the emergence of the
Kingdom of Israel, and the
Kingdom of Judah. Some consider that these Canaanite sedentary Israelites melded with incoming nomadic groups known as 'Hebrews'.
[23] Though few sources in the
Bible mention the exilic periods in detail,
[24] the experience of
diaspora life, from the
Ancient Egyptian rule over the Levant, to
Assyrian Captivity and Exile, to
Babylonian Captivity and Exile, to
Seleucid Imperial rule, to the
Roman occupation, and the historical relations between Israelites and the homeland, became a major feature of Jewish history, identity and memory
Unaposema Mungu anajitambulisha kwa Mataifa mengine kama Mungu wa Israel... ok wewe Mungu wako ni yupi naomba nitajie Jina lake maana ana jina... na huyo utakayemtaja niambie anataka aabudiwe vipi weka wazi acha upumbavu... na kama ukishindwa basi kamuulize mwalimi wako church iwapo humjui Mungu wako na hujui anataka umuabudu vipi upo chaka ama lah....
Hiyo Elimu ya kwenye Mithali unajui au ndio bendera fata upepo?
Umeandika
Kwa kumalizia soma Zab 25:14 Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake. Hivi agano lake ndio hilo la kula nguluwe kuwakataa wayahudi kusali jumapili tofauti na wayahudi,kujenga makanisa badala ya mahekalu na masinagogi... kuweka misalaba juu ya makanisa?
Tafuta vitu vya kujibishana na mimi sio kwa kutumia biblia hutaniweza
utaumbuka hata ikiwa page to page ya bible yako tena utauchukia ukristo... Wayahudi ndio wenye Dini nyie mnajikwaza tu... Hapo mwanzo Binadamu alimuumba Mungu ili amuabudu...