Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ngoja nivute kigoda, sasa naanza kuelewa ni kwa nini vijana wengi wa ulaya hawaendi makanisani wamebaki wazee tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi yapi nimeongea wewe... Neno upumbavu lishahalalishwa pale Jangwani na Mkapa... so hilo ni neno la kawaida sana so me namwaga Nondo tu Mambo ya Mungu ni Story tu za kutungwa hata Mungu alianzishwa na binadamuHhhhhhhhh mbona matusi yamekujaa sana kama hicho unachokiamini kiko sahh?!
Nadhani ulikuwa unajazia tu hoja yangu Good ila ungemquote gemmanuel265Miezi ya kiungu kutokana na neno la Mungu kwenye kitabu chake :
Mwezi wa kwanza, ABIBU/NISANI :Kut 12:2, Kut:23:15
Mwezi wa pili, ZIVU, Mwa 8:14, 1 FL 6:1
Mwezi wa tatu, SIWANI, Kut:19:1,Esta 8:9
Mwezi wa nne, TAMMUZI, 2Fal 25:3-7
Mwezi wa tano, ABU, Hes 33:38,
Mwezi wa sita, ELULI, 4 NYAK27:9,Neh 6:15
Mwezi wa saba, ETHANIM, Mwa 8:4, 1 Fal 8:2
Mwezi wa nane, BULI, Zek 1:1,1Fal 6:38
Mwezi wa tisa, KISLEU, Ezra 10:9,Neh 1:1
Mwezi wa kumi, TEBETH, Esta 2:16,Mwa 8 :5
Mwezi wa kumi na moja, SHEBATI Zek 1:7,Kumb 1:3
Mwezi wa kumi na mbili, ADARI, Ezra 6:15,Esta 3:7.
Hiyo ndiyo miezi according to Bible, hiyo ya January hadi December si miezi ya kiungu, ililetwa na Pope Gregory mwaka 1583.
Sun day siku ya Mungu jua Mungu wa waefeso, soma Yeremia 52 :31 Hata ikawa katika mwaka wa thelathini na saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kumi na mbili, siku ya ishirini na tano ya mwezi, EVIL merodaki mfalme wa Babeli katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake, akamwinua kichwa chake Yehoyakini mfalme wa Yuda akamtoa gerezani.
Chanzo cha sikukuu ya Xmas ni sikukuu ya kipagani ambayo hao waroma waliingiza katika ukristo ishangiliwe sawasawa na Mungu. Lakini Mungu amesema katika Isa 42:8 Mimi ni BWANA ndilo jina langu, na utukufu wangu sitampa mwingine wala sanamu sitawapa sifa zangu. So si kila lililofanywa na watu wa zamani lilikuwa zuri, walitumiwa na shetani kama ambavyo kuna watu wanaokashifu na kuponda neno la Mungu leo hii hata hapa mtandaoni, nadhani unawajua
Kwa hiyo kila race ilipelekewa mitume yao? Nitajie mitume ya wazungu, wahindi na wachina, aborigines, waeskimo nk. Huwezi kuweka siasa kwenye dini you'll get it very wrongwengi mnabishana juu ya dini za kuletewa na wakoloni, biblia ni fasihi ya warumi wengi mnasoma historia za watu wengine na nyinyi mnajifanya waisraeli wengine wametekwa na hadithi za mohammed nao wanajifanya waarabu. vyema kujiuliza je Mungu aliwaumba waafrika bila mitume wao? Je hawakuwa na imani wala kuabudu? Waafrika tuache ushabiki na tuanze kufuatilizia historia yetu kumbuka wokovu ni upendo na dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za mungu baba ni hii, kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Ndugu soma vizuri historia zamani dini na siasa vilikuwa haviachani na utawala wa kisiasa ulikuwa chini ya dini jitahidi kusoma vitu mbalimbali ikiwemo mitazamo ya dini mbalimbali kama Judaism, Christianity, Islam, Bahá'í Faith, Hinduism, Taoism, Buddhism, Sikhism, Slavic neopaganism, Celtic polytheism, Heathenism, Semitic neopaganism, Wicca, Kemetism nk. explore more to expose the core utafunguka kwenye box la fikra ulilojifungiaKwa hiyo kila race ilipelekewa mitume yao? Nitajie mitume ya wazungu, wahindi na wachina, aborigines, waeskimo nk. Huwezi kuweka siasa kwenye dini you'll get it very wrong
Dini na siasa vilikuwa haviachani nakubaliana nawe, hoja ni kuletwa au kutumwa kwa mitume kwa kila jamii (race). Rejea hoja kuwa waafrika hawakutumiwa mitume yao, sijui unamaanisha nini, inawezekana tuko katika phase tofauti ya ufahamu na mitazamo. Mimi mtazamo wangu umebase zaidi kwenye imani ya dini ninayoabudu kwa hiyo kwangu mitume ni waliotajwa kwenye maandiko, mimi si mwanaharakati wa mtu MWEUSI. Wewe umechallenge wakristo na waislam tuonyeshe hiyo mitume ya kiafrika.Ndugu soma vizuri historia zamani dini na siasa vilikuwa haviachani na utawala wa kisiasa ulikuwa chini ya dini jitahidi kusoma vitu mbalimbali ikiwemo mitazamo ya dini mbalimbali kama Judaism, Christianity, Islam, Bahá'í Faith, Hinduism, Taoism, Buddhism, Sikhism, Slavic neopaganism, Celtic polytheism, Heathenism, Semitic neopaganism, WiWewe unipe hoja na unionyeshe a, Kemetism nk. explore more to expose the core utafunguka kwenye box la fikra ulilojifungia